Lowassa sikuamini na sitakuamini

Lowassa sikuamini na sitakuamini

KingCobra95

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
3,364
Reaction score
6,256
Kila nikisikia mtu anasema lowassa napata kichefuchefu zaidi..na kumbuka kauli yke akiwa sheikh Amir abeid alisema 'nchi hii ikiwa na watu ishirini kama karamagi serikali yngu inawza kopa ndani kwa ndni' siku moja kbla nackia ngurdoto marafki zako wakwasi waliandaa hafla ya kukuchangia...mjA kwa mja nilijua kua hufai .nashukuru baba yngu magufuli hata nia bdo hajatangaza...mzee nakuheshimu sana.ila kauli yko ilinifanya nifikirie mmbo mengi; 1.ina maana unaitaka ikulu ili ujitajirishe ww na wenZako kwanza ili tuje kukopa kwenu ili kina pamela na wajukuu zako waje kutudai bdae... 2.mzee unasema hukutendewa haki Dodoma,mbna hujatuambia wapi hatujakutendea haki: 3.mzee unatuambia tuitoe ccm mambo mengne yote bdae,yni miaka yote hio ukipewa nafasi za uwaziri hukuliona hili Unataka Leo tukuunge mkono kwenye visasi vyako;nnachokwambia dmu yoyote itakayomwagika ya kijana yoyote itakulilia ww. .4:mzee unadai Richmond ulionewa tuambie kwa mdomo nani alikuonea acha kuwatuma kina lissu ambao wanaonekana wanafiki kwa wananchi kwa kukiuka maneno yao. 5..mzee ww ni fisadi hata kama sio kwa Richmond minongo'no haikuanzia hapo...umeliibia taifa hili hata kama sio kwa ela Bali kwa kunyamazia tu ufisadi miaka yote hii bdo umeshiriki...kama Unataka kutufanyia Toba kwa watanzania Kafanye kanisani sio ikulu..we vishawishi kwnye uwaziri ulishindwa vya uraisi utaviweza. 6.mzee unAjisikiaje vijana wakikesha mitandaoni wakikutetea kwa kutukanana ili Hali unajua ww si msafi.
My take: ulipaswa utulie na ikibidi ustaafu Siasa kbsa.asa kwa kua huelewi NGja tukustaafishe na vichinjio tarehe 25 maana somo tulilokupa Dodoma hukulielewa... Kwa nimgwhira magufuli lyimo au dovutwa wakiwa maraisi ungepungukiwa nn...au unaogopa mziki wa Tingatinga,nasema hvi tutakufilisi..Yana mwisho michezo yko ya kununua viongozi imefika tamati sasa..tarehe 28 jibu utalipata nakuambia
 
My take: ulipaswa utulie na ikibidi ustaafu Siasa kbsa.asa kwa kua huelewi NGja tukustaafishe na vichinjio tarehe 25 maana somo tulilokupa Dodoma hukulielewa... Kwa mgwhira magufuli lyimo au dovutwa wakiwa maraisi ungepungukiwa nn...au unaogopa mziki wa Tingatinga,nasema hvi tutakufilisi..Yana mwisho
Uzuri wapiga kura wengi hawapo mtandaoni, hivyo kujisafisha kwake ni zero. Ni mwizi tu na ataendelea kuwa mwizi
 
Peleka utumbo wako chooni kwa chuki zako swine fluu
 
Uzuri wapiga kura wengi hawapo mtandaoni, hivyo kujisafisha kwake ni zero. Ni mwizi tu na ataendelea kuwa mwizi

Mkuu nashukuru kwa kuliona Hilo nimekuwa nikiwambia vijana wapiga Kura wengi hawapo Hapa Jamii forum ,hawanielewi Najua Baada ya tar 25/10 wanajua uchaguzi WA Rais WA nchi una tofauti na uchaguzi WA Rais WA face book
 
Kila nikisikia mtu anasema lowassa napata kichefuchefu zaidi..na kumbuka kauli yke akiwa sheikh Amir abeid alisema 'nchi hii ikiwa na watu ishirini kama karamagi serikali yngu inawza kopa ndani kwa ndni' siku moja kbla nackia ngurdoto marafki zako wakwasi waliandaa hafla ya kukuchangia...mjA kwa mja nilijua kua hufai .nashukuru baba yngu magufuli hata nia bdo hajatangaza...mzee nakuheshimu sana.ila kauli yko ilinifanya nifikirie mmbo mengi; 1.ina maana unaitaka ikulu ili ujitajirishe ww na wenZako kwanza ili tuje kukopa kwenu ili kina pamela na wajukuu zako waje kutudai bdae... 2.mzee unasema hukutendewa haki Dodoma,mbna hujatuambia wapi hatujakutendea haki: 3.mzee unatuambia tuitoe ccm mambo mengne yote bdae,yni miaka yote hio ukipewa nafasi za uwaziri hukuliona hili Unataka Leo tukuunge mkono kwenye visasi vyako;nnachokwambia dmu yoyote itakayomwagika ya kijana yoyote itakulilia ww. .4:mzee unadai Richmond ulionewa tuambie kwa mdomo nani alikuonea acha kuwatuma kina lissu ambao wanaonekana wanafiki kwa wananchi kwa kukiuka maneno yao. 5..mzee ww ni fisadi hata kama sio kwa Richmond minongo'no haikuanzia hapo...umeliibia taifa hili hata kama sio kwa ela Bali kwa kunyamazia tu ufisadi miaka yote hii bdo umeshiriki...kama Unataka kutufanyia Toba kwa watanzania Kafanye kanisani sio ikulu..we vishawishi kwnye uwaziri ulishindwa vya uraisi utaviweza. 6.mzee unAjisikiaje vijana wakikesha mitandaoni wakikutetea kwa kutukanana ili Hali unajua ww si msafi.
My take: ulipaswa utulie na ikibidi ustaafu Siasa kbsa.asa kwa kua huelewi NGja tukustaafishe na vichinjio tarehe 25 maana somo tulilokupa Dodoma hukulielewa... Kwa nimgwhira magufuli lyimo au dovutwa wakiwa maraisi ungepungukiwa nn...au unaogopa mziki wa Tingatinga,nasema hvi tutakufilisi..Yana mwisho michezo yko ya kununua viongozi imefika tamati sasa..tarehe 28 jibu utalipata nakuambia

Sawa umenena mkuu, lakini mbona ccm ndo Kisima cha mafisadi!!!!
Maelfu kwa maelfu ya mafisadi wako ccm., sasa kwann unadhani ni halali kuwapa maelfu ya mafisadi nchi kuliko fisadi mmoja??
Hebu ona ufisadi wa bomba la gasi lilivyo fumuliwa na simbachaweme!!!!

CCM ni janga la Taifa.

Hivi Kati ya ccm na ukawa/ CDM Nani anafaa kuaminika??
 
Hata Kikwete hakuungwa mkono na wananchi wote na akawa rais wako. Cshangai kwa mawazo yako maana hata ukichukia haileti toufauti Lowassa kuwa rais wako labda uhame nchi. Ila naamini umepunguza pressure moyoni kwa kusema ya moyoni.
 
Bla bla unarudia ngonjera za mahafali hapa, kama unasikia kichefuchefu kalambe ndimu, swine.

Hakuna mtu wakutuaminisha lowasa ni mchafu kuliko waliobaki CCM na CCM yenyewe, labda mtuambie wote hawafai tumpe mama anna wa ACT au Hashimu Rungwe wa Chauma.

Lakn kumponda lowasa ili tuikubali CCM ni UJINGA
 
Kila nikisikia mtu anasema lowassa napata kichefuchefu zaidi..na kumbuka kauli yke akiwa sheikh Amir abeid alisema 'nchi hii ikiwa na watu ishirini kama karamagi serikali yngu inawza kopa ndani kwa ndni' siku moja kbla nackia ngurdoto marafki zako wakwasi waliandaa hafla ya kukuchangia...mjA kwa mja nilijua kua hufai .nashukuru baba yngu magufuli hata nia bdo hajatangaza...mzee nakuheshimu sana.ila kauli yko ilinifanya nifikirie mmbo mengi; 1.ina maana unaitaka ikulu ili ujitajirishe ww na wenZako kwanza ili tuje kukopa kwenu ili kina pamela na wajukuu zako waje kutudai bdae... 2.mzee unasema hukutendewa haki Dodoma,mbna hujatuambia wapi hatujakutendea haki: 3.mzee unatuambia tuitoe ccm mambo mengne yote bdae,yni miaka yote hio ukipewa nafasi za uwaziri hukuliona hili Unataka Leo tukuunge mkono kwenye visasi vyako;nnachokwambia dmu yoyote itakayomwagika ya kijana yoyote itakulilia ww. .4:mzee unadai Richmond ulionewa tuambie kwa mdomo nani alikuonea acha kuwatuma kina lissu ambao wanaonekana wanafiki kwa wananchi kwa kukiuka maneno yao. 5..mzee ww ni fisadi hata kama sio kwa Richmond minongo'no haikuanzia hapo...umeliibia taifa hili hata kama sio kwa ela Bali kwa kunyamazia tu ufisadi miaka yote hii bdo umeshiriki...kama Unataka kutufanyia Toba kwa watanzania Kafanye kanisani sio ikulu..we vishawishi kwnye uwaziri ulishindwa vya uraisi utaviweza. 6.mzee unAjisikiaje vijana wakikesha mitandaoni wakikutetea kwa kutukanana ili Hali unajua ww si msafi.
My take: ulipaswa utulie na ikibidi ustaafu Siasa kbsa.asa kwa kua huelewi NGja tukustaafishe na vichinjio tarehe 25 maana somo tulilokupa Dodoma hukulielewa... Kwa nimgwhira magufuli lyimo au dovutwa wakiwa maraisi ungepungukiwa nn...au unaogopa mziki wa Tingatinga,nasema hvi tutakufilisi..Yana mwisho michezo yko ya kununua viongozi imefika tamati sasa..tarehe 28 jibu utalipata nakuambia

Ubarikiwe
 
Unapoteza muda wako tu Lowassa kwenda mbeleeeee...tunawatairi bila ganzi mwaka huuu
 
Who are you?Eti humuamini....
Kafie mbali huko,majority tunamuamini na kumkubali,hizi ni ngonjera za kujifariji... na hazibadilishi chochote kwa tuliokwisha kuamua.
 
Acheni kufanya siasa za kukariri. Kama lowassa mwizi mbona nec ilimruhusu? Kalaumu nec na si lowassa. Au lowassa alihonga nec?
 
Sio lazima umuamini infact majority wanampenda na kumuamini.

Unapoteza muda budahhhhhhh
wapumbavu na mafisadi ndio wanampenda. bahati nzuri ni wachache wengi oct 25 tutamchagua mtu muadilifu na mchapa kazi john pombe magufuli. hapa kazi tu. nyumbu makapi mtalala dodooh.
 
Punguza jazba utaandika uzi ktk mpangilio ona sasa umeshindwa kuuandika kimpangilia au device umepewa jana Lumumba
 
Sawa umenena mkuu, lakini mbona ccm ndo Kisima cha mafisadi!!!!
Maelfu kwa maelfu ya mafisadi wako ccm., sasa kwann unadhani ni halali kuwapa maelfu ya mafisadi nchi kuliko fisadi mmoja??
Hebu ona ufisadi wa bomba la gasi lilivyo fumuliwa na simbachaweme!!!!

CCM ni janga la Taifa.

Hivi Kati ya ccm na ukawa/ CDM Nani anafaa kuaminika??

Uwe unaelewa mapema ndg ukisoma Uzi wa mleta mada tena hakuna neno ccm wala cdm humo ameongea mtu personal yaan hamuamini lowassa sasa we unaleta habari zq ukawa na ccm humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom