Lowassa, si usaidie na masikini

Lowassa, si usaidie na masikini

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja shilingi miliono 10 Makongoro akiwemo huku Wassira akichangia milioni 5 na Mwandosya akichangia milioni 1.5.

Pinda na marafiki zake ndio walitia fora kwa kuchangia sh milioni 203.

Nachojiuliza hivi mbona sijawahi kumsikia mh.huyu akisaidi masikini wanaaomba milioni 2 au 3 ili kwenda India kwa matibabu?

Kama unaweza kutoa milioni 50 kuchangia chama ni kwanini basi usisaidie masikini hawa wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari?

Milioni 50 ungeokoa maisha ya vichanga vinavyokufa kwa magonjwa ya moyo n.k.

Mh.ukiweza anzisha hata "foundation" walau utakumbukwa kwa hilo kuliko hela zako zikaishia kwenye mambo ya siasa tu.

Mh.hili ni ombi na ushauri ili kusaidia wanaoteseka au kufa na magonjwa kwa kushindwa kugharamia matibabu.

Huwa nasikitika sana kuona watanzania wanaomba misaada ya matibabu kupitia vyombo vya habari ili kuokoa maisha yao.

It pains a lot.

Ushauri huu unamuhusu hata Sabodo na matajiri wengine isipokuwa mzee Mengi tu ambae husaidia sana jamii.

Mkuu, hili nalo neno!
 
Nadhani wewe mleta mada umesahau kuwa Lowasa ni mwanasiasa. Kwa wale watu wengine wa dini wangesema kuwa Lowasa hakuitwa ili afanye hayo uliyoyasema.
Yeye anatafuta namna ya kuwatumikia watu .
Na anapoombwa kuchangia basi anachangia kwa uwezo wake wote bila ubahili kama wengine wanavyotoa kibahili kwa kuwaza kwamba tusipopata kura tutapoteza.
Lowasa angeenda peke yake Zanzibar angeambiwa kuwa ameandaa lile tamasha yeye na bila shaka Dr. Shain angekua kwenye misukosuko ndani ya Chama chake toka kwa Nape akisukwa na Membe.

Lowasa leo hii akaenda kutoa msaada kwa Yatima bila kualikwa tena akiwa na wenzake kama ilivyofanyika kule Zanzibar basi ni dhahiri kuwa hicho kituo cha kukelea yatima kitafungwa kwa shinikizo la Nape na kundi lake.

Tumeona mfano watu wanaomuunga mkono kwa kujitolea damu kusaidia wagonjwa walivyopigwa marufuku kwenye hospitali za serikali.
Unataka asidie nini tena wakati akisaidia hata kwa marafiki zake kutoa damu kuwaokoa wanawake wakati wa kujifungua inakua ni vitisho kwa madaktari wakuu wa hospitali husika.

Leo hii unakuja na hoja dhaifu ya kusaidia yatima bila kuangalia kitakachotokea na vita anayopigwa mpaka kuombewa kifo na watu kushangilia wanaposikia kuwa anaumwa.

Mwacheni mzee wa watu.
Kama mnataka washaurini wanaoniliki vituo vya mayatima wajipange wawaite wanasiasa wote maarufu ikiwemo wapinzani ili wachangiwe kwa pamoja na kuondoa kelele za kina Nape na wanafiki wengine.
 
Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni hana hutu nenda jimboni kwake ndio kuna ombaomba Arusha nzima na hana hata hutu angekwenda kusaidia hata wale wagonjwa wa Seriani.

swissme

hutu ndio nini mkuu?
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja shilingi miliono 10 Makongoro akiwemo huku Wassira akichangia milioni 5 na Mwandosya akichangia milioni 1.5.

Pinda na marafiki zake ndio walitia fora kwa kuchangia sh milioni 203.

Nachojiuliza hivi mbona sijawahi kumsikia mh.huyu akisaidi masikini wanaaomba milioni 2 au 3 ili kwenda India kwa matibabu?

Kama unaweza kutoa milioni 50 kuchangia chama ni kwanini basi usisaidie masikini hawa wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari?

Milioni 50 ungeokoa maisha ya vichanga vinavyokufa kwa magonjwa ya moyo n.k.

Mh.ukiweza anzisha hata "foundation" walau utakumbukwa kwa hilo kuliko hela zako zikaishia kwenye mambo ya siasa tu.

Mh.hili ni ombi na ushauri ili kusaidia wanaoteseka au kufa na magonjwa kwa kushindwa kugharamia matibabu.

Huwa nasikitika sana kuona watanzania wanaomba misaada ya matibabu kupitia vyombo vya habari ili kuokoa maisha yao.

It pains a lot.

Ushauri huu unamuhusu hata Sabodo na matajiri wengine isipokuwa mzee Mengi tu ambae husaidia sana jamii.

Mbona Pinda et tal wametoa mil 203 umeona kawaida lakini ka milion 50 ka Lowassa kanakutoa mapovu!
 
Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni hana hutu nenda jimboni kwake ndio kuna ombaomba Arusha nzima na hana hata hutu angekwenda kusaidia hata wale wagonjwa wa Seriani.
No research, no right to say. Monduli kuna omba omba?? Mkuu jamii inayoishi jimboni kwa lowassa hawana tabia ya kuomba omba! Tena hawana tabia ya kuitegemea serikali kuwafanyia kila kitu. Wanalima na kufuga. Kabla hujadanganya humu, fanya kautafiti.
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja shilingi miliono 10 Makongoro akiwemo huku Wassira akichangia milioni 5 na Mwandosya akichangia milioni 1.5.

Pinda na marafiki zake ndio walitia fora kwa kuchangia sh milioni 203.

Nachojiuliza hivi mbona sijawahi kumsikia mh.huyu akisaidi masikini wanaaomba milioni 2 au 3 ili kwenda India kwa matibabu?

Kama unaweza kutoa milioni 50 kuchangia chama ni kwanini basi usisaidie masikini hawa wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari?

Milioni 50 ungeokoa maisha ya vichanga vinavyokufa kwa magonjwa ya moyo n.k.

Mh.ukiweza anzisha hata "foundation" walau utakumbukwa kwa hilo kuliko hela zako zikaishia kwenye mambo ya siasa tu.

Mh.hili ni ombi na ushauri ili kusaidia wanaoteseka au kufa na magonjwa kwa kushindwa kugharamia matibabu.

Huwa nasikitika sana kuona watanzania wanaomba misaada ya matibabu kupitia vyombo vya habari ili kuokoa maisha yao.

It pains a lot.

Ushauri huu unamuhusu hata Sabodo na matajiri wengine isipokuwa mzee Mengi tu ambae husaidia sana jamii.
Huyo mzee hana shida nakuwasaidia maskini wa TZ!shida yake ni uraisi!anasaidia either kikundi,vikundi na mtu mmoja mmoja kukamilisha ndoto yake na si vinginevyo!huyu Bwana mkubwa kashatuona wa TZ tuna price tag?anachofanya nikuona kwa pesa zake chafu ambazo kuna siku!mungu aepushilie mbali itabidi azitolee maelezo?anaamini katika kununua,hatufai hata kidogo!zaidi ya kuwafaa mafisadi wenzake na kuendekea kuuza rasilimali za nchi hii!tumuogope kama ukoma!hajawahi kusafishwa wala kujisafisha katika kashfa hata moja,hafai,hafai na hatafaa si kwa masika bali hata kiangazi...
 
Back
Top Bottom