Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,751
- 165,256
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo,mh.Lowassa amechangia shilingi milioni 50 katika harambee ya CCM huko Zanzibar .Mh.Lowassa alialikwa na chama katika harambee hiyo sambamba na baadhi ya wagombea uraisi wengine ambao nao walichangia kila mmoja miliono 10 na Wassira milioni 1.5.
Nachojiuliza hivi mbona sijawahi kumsikia mh.huyu akisaidi masikini wanaaomba milioni 2 au 3 ili kwenda India kwa matibabu?
Kama unaweza kutoa milioni 50 kuchangia chama ni kwanini basi usisaidie masikini hawa wanaomba misaada kwenye vyombo vya habari?
Milioni 50 ungeokoa maisha ya vichanga vinavyokufa kwa magonjwa ya moyo n.k.
Mh.ukiweza anzisha hata "foundation" walau utakumbukwa kwa hilo kuliko hela zako zikaishia kwenye mambo ya siasa tu.
Mh.hili ni ombi na ushauri ili kusaidia wanaoteseka au kufa na magonjwa kwa kushindwa kugharamia matibabu.
Huwa nasikitika sana kuona watanzania wanaomba misaada ya matibabu kupitia vyombo vya habari ili kuokoa maisha yao.
It pains a lot.
Ushauri huu unamuhusu hata Sabodo na matajiri wengine isipokuwa mzee Mengi tu ambae husaidia sana jamii.
Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni hana hutu nenda jimboni kwake ndio kuna ombaomba Arusha nzima na hana hata hutu angekwenda kusaidia hata wale wagonjwa wa Seriani.
swissme
Monduli yenyewe kuna sehemu barabara tabu maji hamna shule ndio kabisa watoto wanakaa chini, shule zinajengwa na Ngos za wazungu lakini wanakuwa kimbele mbele cha kuweka mawe ya msingi na kufungua.
Matokeo yake vijana wengi wanakimbia umasaini wanakuja kuwa walinzi na wauza ugolo.
Ur correct madam kwa kweli huyu lowasa hana "HUTU" ila kwa UTU anao.
Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa ni hana hutu nenda jimboni kwake ndio kuna ombaomba Arusha nzima na hana hata hutu angekwenda kusaidia hata wale wagonjwa wa Seriani.
swissme
Tena kwa kutumia well-defined strategy.Lazima awahonge hao maccm ili wampititishe kuwa mgombea.Akimsaidia mtoto mgonjwa wa moyo huko Ilamaduhu, huyo mtoto atamsaidiaje Lowassa kuingia ikulu?urais unasakwa by hooks and crooks
Jumlisha hela zote alizogawa lowasa tangu aanze hii huruma yake ya mashaka , hakika utashika kiuno !je hao waliotoa 200 na kitu je hawatakiwi kusaidia hao maskini? naona na wewe upo kwenye ugonjwa unaowasumbua watu kwa sasa, wa lowassa.
Lugha za aina hii ndio zinawapa watawala justification ya kutuletea cyber law.Hakika wewe unakilimbitwa nyuma na mbele! Kila siku Lowassa Lowassa... Tayari ameoa na anawatoto na wajukuu... Heading yako kwanini isiwe Pinda aliechanga fedha za ESCROW?...Hakuna mpuuzi humu JF kama wewe na akina Chooni ...