Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
KTN profile on Edward Lowassa that was aired at 9pm
Last edited by a moderator:
Kenya wako serious . Fuatilia the way wanavyoripoti habari zao; Hakuna tofauti na Bbc, Dw na Aljzeera. Wanafanya Live coverage
Baada ya kuangalia Clip hiyo nimeconclude kweli Nabii hakubaliki kwao maana hiyo Clip imemuelezea Lowasa kwa kifupi lakini imemaliza kila kitu na inaonyesha jinsi gani Lowasa ni mpambanaji....Lakin labda ni uwezo wa waandishi wetu wa habari hapa TZ upo chini kiasi kwamba wameshindwa kuandaa clips zinazosisimua kama hizi...Kudos KTN

Wanayo profile ya Magufuli au wapo biased.