Lowassa Out?

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Tanzanian 'fraud' draws foreign flak

Juma Kwayera | Nairobi

Source: Mail & Guardian Online

http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=322669&area=/insight/insight__africa/
 
Jamani Lowasa na visungura vyake sijui atafanya nini. Kampeni ya urais ndio itabidi asahau hivyo au labda aanze upya media spinning ndani ya bongo.

Lowasa, ulishauriwa na Nyerere (RIP) kuwa mpole ule mali uliyoiba na kudhulumu ukakataa. Haya basi it is time kukumbana na mizimu ya watoto wa kitanzania woote waliokufa kwa kukosa madawa huku wewe ukijitajirisha kwa kukwepa kodi na biashara zako haramu.

muda si mrefu utaanza kuokota makopo!
 
Huyu jamaa atakataa lakini mwisho itajulikana tu, wabongo kuna siku wtamwibukia huko aliko, asidhani wanafurahi kufariki ndugu na jamaa zao huku wao wakitesa na familia zao
 
Lakini JK anaweza? Maana hii si kawaida... mtu anang'ang'ania tu
 
Ataweza wapi wakati yule ni best wake? Na hata akimtoa kwa ajili ya pressure, atamwambia ajiuzulu ili abakize credibility yake na heshima(in theory), na si vingine. Therefater, hakitapungua kitu kwa upande wa Lowassa.
 
Lets wait and see, but iko kazi mwaka huu, kama vile, "Albadiri ya Mbayana" kwa wanaojua maana yake, maana yaani ,"kifo cha nyani, miti yote huteleza" hawaamini kinachotokea.
 
Lets wait and see, but iko kazi mwaka huu, kama vile, "Albadiri ya Mbayana" kwa wanaojua maana yake, maana yaani ,"kifo cha nyani, miti yote huteleza" hawaamini kinachotokea.

Kheeee...yaani wewe unaniombea kifo...?
 
Lets wait and see, but iko kazi mwaka huu, kama vile, "Albadiri ya Mbayana" kwa wanaojua maana yake, maana yaani ,"kifo cha nyani, miti yote huteleza" hawaamini kinachotokea.

Mbona Salman Rashdie walimsomea mika mingi tu iliyopita?
 
Kheeee...yaani wewe unaniombea kifo...?

Ushauri wa bure: kuepuka maneno kama kifo cha ..., kumkoma ... giladi, siku ya kufa ... ni afadhali ukaiondoa hiyo Nyani ukaweka Njabu kama ilivyokuwa mwanzo. Au ndio Nyani ni son na Njabu ndio pops wake?
 
hahahahaha....Nyani Son Of Ngabu...
 
Tabasamu ulipotea naona mabox ya Tanzania na ughaibuni yalizidi.
Karibu tena.
 
Tabasamu ulipotea naona mabox ya Tanzania na ughaibuni yalizidi.
Karibu tena.

Dua nipo ila tu ilibidi nipige shift tatu si unajua tena mambo yanazidi kuwa magumu bongo. Nimehamia kwenye kakibanda kangu ambako kana sebule na chumba huko Ukonga madafu ila ndio hivyo tena nadhani sitaweza kuendelea na utaratibu wakuongezea vyumba vingine maana Mheshimiwa sana waziri mkuu Edward Ngoyai Lowasa anasema Ujenzi wa Viwanja vya soka Afrika Kusini umefanya bei ya simenti ipande!!
 
niliwahi uliza jamani sijapewa jibu mpaka leo..hii richmond siyo ya mtoto wa lowasa kwa bongo?yule aliyewahi kutoa toa misaada hata pikipiki polisi....kama kawa wakubwa bongo wanajuana na kulishana huko juu kwa juu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…