Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa, baba wa uendeshaji wa harambee, huku kwetu Namasakata Tunduru kuna kanisa la Anglikana mbalo hatuna kanisa, tunasali chini ya mkorosho na tuna waumini wapato 48. Tumeandaa nyimbo na risala za kukusifu. Tuna ngonjera za kuwatukana akina Sitta, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Membe na Makongoro Nyerere.
Tumeandaa pia watu watakaozimia kwa furaha ya kuwakomboa kutokana na kuwapatia nyumba ya ibada na tutudhihirishia umma kwamba wewe si fisadi na kwamba makelele ya ufisadi si tu kwamba ni wivu wa kike, bali pia ni siasa za makundi zenye muelekeo wa urais wa 2015. Karibu baba, karibu Namasakata, Tunduru, tukupokee kishujaa. Utakapokuja uongozane na Serukamba, Beatice Shelukindo, Januari Makamba, Masha, Mahanga, Nchimbi, Guninita na Mgeja, kwa sababu hawa huwa tunawasikia tu kwenye vyombo vya habari. Mshawishi na Kilumbe Ng'enda ili tumfariji baada ya uonevu aliotendewa. Karibu Namasakata shujaa wetu!

Nyie mlio makanisani sasa subirini, Nizamu yetu wa Misikitini nimeongea na FF pamoja na MS waongee na Bakwata tujue jinsi gani ya Lowassa kufanya Harambee kwenye misikiti yetu
Mkuu FF na MS ndo akina nani? Nielimishe.
Thread hii haijatendewa haki kutupwa huku lakini ile ya ngono za Malawi imeachwa inatamba. Lowassa anawatumia vibaya sana!
Muanzisha Mada nakuunga Mkono
Kazi ya Lowasa sasa hv si kufungua Makanisa utafikiri yeye ni Askofu.
Yaani anajaribu kujisafisha kupitia Makanisa.....................Jinga kweli
Lowasa baba babaaaaaaa lowasa!,,,,,,Lowasa babab babaaaaaaa lowasa!,,,,,,,,lowasa baba babaaaaaaaaa lowasa!tunakupongeza na chenge mzee wa vijisenti,,,,,,,,,ohooooooooooooo,ubalikiwe,utukuzwe maaana umeshinda vita dhidi ya 6,nepi,makongoro na wanafiki wengine,
Faiza Foxy na Malaria Sugu
ha ha ha, mtunzi you are simply genious and hilarious.