Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Ulisema kosa lake halina Msamaha, leo kimetokea nini? Kuna sheria imekiukwa? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno
 
HaHaha naona mmeufufua uzi wa 2015
 
Naomba kuuliza wanaosema Rais atoe msamaha wa masheikh... kwani Masheik ni wafungwa au bado wana kesi...
Mnataka aingilie mambo ya mahakama?
 
duh JK ivi kweli anausika hapa au maneni ya mtaani tu
 
Magu anatumia madesa ya ukawa kutimiza majukumu yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…