OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mh Edward Lowassa amesema hatua zinazochukuliwa na Rais magufuli ni utekelezaji wa ilani ya ukawa.Amesema yale aliyoyapigia kelele wakati wa kampeni ndiyo yanayotekelezwa na Rais Magufuli."lakini nawataka wakiri basi kuwa wanatekeleza sera za lowassa na ukawa".amesema.Aidha Ameipongeza serikali ya Magufuli kwa kumwachia huru sheikh Ponda na kuelezea matumaini yake kesi ya babu seya nayo itaangaliwa upya.
Mytake: ukizingatia 2006 kipindi Babu Seya anahukumiwa, Lowassa alikuwa waziri mkuu. Katika kipindi cha kampeni mpaka sasa (leo, Arusha) amekuwa akisisitiza kuhusu hii kesi kuangaliwa upya, WHY?
Kwangu mimi, nabaki na maswali mengi sana!.. Na kuna mengi ya kuyatafutia majibu....

Lowasaaa mabadiliko mabadiliko Lowasaaa nlikuw nmeanza kusahau naona mtoa mada kanikumbusha, co mbaya tunaisubir 2020 tukuweke madarakan mzee, we endelea kukaa bech uku ukipasha pasha misuli nchi yko hii?
Mh Edward Lowassa amesema hatua zinazochukuliwa na Rais magufuli ni utekelezaji wa ilani ya ukawa.Amesema yale aliyoyapigia kelele wakati wa kampeni ndiyo yanayotekelezwa na Rais Magufuli."lakini nawataka wakiri basi kuwa wanatekeleza sera za lowassa na ukawa".amesema.Aidha Ameipongeza serikali ya Magufuli kwa kumwachia huru sheikh Ponda na kuelezea matumaini yake kesi ya babu seya nayo itaangaliwa upya.
Mytake: ukizingatia 2006 kipindi Babu Seya anahukumiwa, Lowassa alikuwa waziri mkuu. Katika kipindi cha kampeni mpaka sasa (leo, Arusha) amekuwa akisisitiza kuhusu hii kesi kuangaliwa upya, WHY?
Kwangu mimi, nabaki na maswali mengi sana!.. Na kuna mengi ya kuyatafutia majibu....
Kulikuwa na kitu mjomba .Mh Edward Lowassa amesema hatua zinazochukuliwa na Rais magufuli ni utekelezaji wa ilani ya ukawa.Amesema yale aliyoyapigia kelele wakati wa kampeni ndiyo yanayotekelezwa na Rais Magufuli."lakini nawataka wakiri basi kuwa wanatekeleza sera za lowassa na ukawa".amesema.Aidha Ameipongeza serikali ya Magufuli kwa kumwachia huru sheikh Ponda na kuelezea matumaini yake kesi ya babu seya nayo itaangaliwa upya.
Mytake: ukizingatia 2006 kipindi Babu Seya anahukumiwa, Lowassa alikuwa waziri mkuu. Katika kipindi cha kampeni mpaka sasa (leo, Arusha) amekuwa akisisitiza kuhusu hii kesi kuangaliwa upya, WHY?
Kwangu mimi, nabaki na maswali mengi sana!.. Na kuna mengi ya kuyatafutia majibu....
Mungu pekee anajuaMh Edward Lowassa amesema hatua zinazochukuliwa na Rais magufuli ni utekelezaji wa ilani ya ukawa.Amesema yale aliyoyapigia kelele wakati wa kampeni ndiyo yanayotekelezwa na Rais Magufuli."lakini nawataka wakiri basi kuwa wanatekeleza sera za lowassa na ukawa".amesema.Aidha Ameipongeza serikali ya Magufuli kwa kumwachia huru sheikh Ponda na kuelezea matumaini yake kesi ya babu seya nayo itaangaliwa upya.
Mytake: ukizingatia 2006 kipindi Babu Seya anahukumiwa, Lowassa alikuwa waziri mkuu. Katika kipindi cha kampeni mpaka sasa (leo, Arusha) amekuwa akisisitiza kuhusu hii kesi kuangaliwa upya, WHY?
Kwangu mimi, nabaki na maswali mengi sana!.. Na kuna mengi ya kuyatafutia majibu....
Ila kwakuwa katoa Magu ina faidaWananchi watapata FAIDA GANI kutolewa KWA MASHEHE NA babu seya?
LOWASSA alipaswa kuzungumzia matatizo yanayo wakabili wananchi ya kimaendeleo kuliko hayo ya babu seya. Kuna wafungwa wengi waliofungwa kimakosa kwanini amewabagua hao? Basi angewazungumzia wafungwa wote kuliko kuleta ubaguzi. KWA hilo alikurupuka.
Wasalaam,
Abel sere from Moshi