Inategemea na kosa wewe,rais hana mamlaka ya kumtoa mtu mwenye kesi kama ya
1: ubakaji
2: robbery
3: murder
4: uhaini (hapa labda awasamehe kabla hawajahukumiwa)
kwa wapenzi wa muziki tunatamani siku moja babu seya atoke ili tutoke na tucheze wote kwa mapenzi na mabusu motomoto. hakika wimbo huu umetumika kutumbuiza kwenye harusi nyingi na sherehe nyingi sana. mgombea urais wa ukawa ametutoa machozi ya raha pale alipotuahidi kwamba ipo siku atamtoa babu seya hivyo zile raha zitarudi tena uraiani. asante sana kwa hili. sasa kwa upande wa pili kuna wale ambao mpaka Mungu atawachukua hawaamini kama kweli gavana daudi bilali amefariki kutokana na mazingaombwe yaliyotokea kuhusiana na mazingira ya utata ya kifo na mazishi yake. hivyo basi kwakuwa arusha umetuambia utamtoa babu seya, je kesho mwanza utatuambia utamrudisha gavana daudi bilali ili kama kweli yupo hai taifa bado linamuhitaji katika michango yake ya kujenga uchumi wa nchi? wanamwanza tunatamani kesho useme neno moja tu kuhusu daudi bilali na kura zetu uchukue zoooooooteee.....
ndugu wanajukwaa, nchi hii sasa hivi imegeuka HOLLYWOOD na Sterling ni bwana Mamvi. huyu super staa amekuwa akifuatwa na msululu wa watu kila anapokwenda. MAMVI amekuwa bingwa wa kutoa ahadi yaani yeye akiona umati tu ahadi hiyo inatoka. Juzi kati kaahidi kumwachia Babu Seya - lengo lake hapa apate kura za wasanii, lakini ajabu Babu Seya yuko jela miaka kibao na kuna wakati Marando alikuwa akiisimamia rufaa yake kesi iliposikilizwa majaji hawakuweza kumfungulia kutokana na kwamba bado mazingira ya ushahidi yalikuwa yanamtia hatiani (sisemi kuwa mimi nina uhakika sana kuwa alifanya kosa alilokutwa nalo hatiani la hasha bali mahakamani tunadili na evidence na si porojo) kila mtu anaujua uwezo wa Marando katika sheria ila hakuweza kumtoa Babu Seya ingawa aliweza kuwatoa watoto wake wawili, KINACHONISHANGAZA HUYU lowassa wakati rufaaa inasikilizwa sikuwahi kumuona akijitokeza mahakamani au hata kusema anasaidia fedha za kugharamia wakili. Ila baada ya kukatwa na CCM na kuhamia Ukawa ndipo anaahidi kumtoa Babu Seya (Inaonekana Lowassa kila anapoona umati roho ya huruma inamshika).
Hiyo Moja, ya pili LUWASSA kila anapowaona boda boda anaahidi kujenga serikali ambayo itakuwa shirikishi, yaani atakuwa rais rafiki wa bodaboda, Lowassa anasema anachukizwa na ukosefu wa ajira. Lakini sijawahi kumuona Lowassa akitoa sehemu ya mamilioni yake lukuki aliyokuwa akitoa kila siku misikitini na kanisani kuanzisha hata mfuko ambao boda boda wangekuwa wanakopa au vikoba au chochote ambacho kingewasaidia watu hao.
Lowassa awali kabla hajakatwa kamuita Kikwete VISIONARY LEADER, baada ya kukatwa anasema ameua uchumi. Yaani luwassa kila siku ahadi, ahadi, ahadi, anatoa ahadi kutoka kichwani bila hata kufanya analysis kama ataweza kuzitekeleza.
Huu usanii wake ndiyo unaomfanya jinias Magufuli kuchukua hii nchi saa 12 asubuhi hapo Octoba 25, 2015.

Politics is a game of dynamics. Maana yake ni kwamba nothing is stationary. Lazima uende na nyakati. Kwa maana hiyo unaweza kumsifu mtu au jambo flani kwa kuangalia upande mmoja, na unapo move unaangalia upande wa pili na unasema pia. Wakati nanunua gari langu la kwanza petroli nilikuwa naipata kwa 1600 na leo nanunua kwa 2400 lazima nijiulize why. Dollar ilikuwa 1200 saiz ni 2300 plus, lazima niulize maswali. Sasa kama akija mtu aniambie ana uwezo wa kurudisha bei ya petroli kufika 1800 na dollar ikawa stable kwa nini nisimsikilize. Tena akisema hivyo kwa maneno ananipa explanation ni jinsi gani itawezekana. Yaani kwa nini nisishawishike kumuamini huyu aliye na mpango mzuri kwangu, na badala yake niendelee kumkumbatia huyu ambaye ameshiriki kuniongezea ugumu wa maisha na anazidi tu. In other words tunahitaji akili ya tofauti kutatua haya matatizo yaliyoletwa na huyu anayetoka, tunajua hayupo perfect guy katika Tz yetu lakini tuna better guys that tulio nao sasa.ndugu wanajukwaa, nchi hii sasa hivi imegeuka HOLLYWOOD na Sterling ni bwana Mamvi. huyu super staa amekuwa akifuatwa na msululu wa watu kila anapokwenda. MAMVI amekuwa bingwa wa kutoa ahadi yaani yeye akiona umati tu ahadi hiyo inatoka. Juzi kati kaahidi kumwachia Babu Seya - lengo lake hapa apate kura za wasanii, lakini ajabu Babu Seya yuko jela miaka kibao na kuna wakati Marando alikuwa akiisimamia rufaa yake kesi iliposikilizwa majaji hawakuweza kumfungulia kutokana na kwamba bado mazingira ya ushahidi yalikuwa yanamtia hatiani (sisemi kuwa mimi nina uhakika sana kuwa alifanya kosa alilokutwa nalo hatiani la hasha bali mahakamani tunadili na evidence na si porojo) kila mtu anaujua uwezo wa Marando katika sheria ila hakuweza kumtoa Babu Seya ingawa aliweza kuwatoa watoto wake wawili, KINACHONISHANGAZA HUYU lowassa wakati rufaaa inasikilizwa sikuwahi kumuona akijitokeza mahakamani au hata kusema anasaidia fedha za kugharamia wakili. Ila baada ya kukatwa na CCM na kuhamia Ukawa ndipo anaahidi kumtoa Babu Seya (Inaonekana Lowassa kila anapoona umati roho ya huruma inamshika).