Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je, Lowassa hautambui mhimili wa mahakama?

Je, utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania


 

wewe mbona hueleweki,kichwa cha habari na habari ni tofauti
 
Ni dhahiri atakuwa anafahamu kuwa hawakuwa na hatia yeyote ndio maana wakawekwa ndani kama ambavyo ilivyowahi kunenwa.

Lowasa na Jakaya walikua maswahiba wakubwa. Kama Nguza alifungwa kwa shinikizo basi yeye ni mshiriki mkubwa. Hawakukutana barabarani.
 
hakiyamungu Babu seya atarudi uraiani tu hata kwa goli la mkono magamba.mtashangaa aisee
 
Ni dhahiri atakuwa anafahamu kuwa hawakuwa na hatia yeyote ndio maana wakawekwa ndani kama ambavyo ilivyowahi kunenwa.

Jamani huu ujinga mwingine kama tukiukubali tutakuwa watu wa hovyo na tutachekwa watu dunia nzima, kuna taratibu za kuendesha mtu, after all babu seya ni nani katika kutafuta maendeleo ya nchi hii? Ama kweli akili ni nywele......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…