Lowassa: Ni ngumu upinzani kushinda Arumeru

Lowassa: Ni ngumu upinzani kushinda Arumeru

Na ubinafsi huo ndio ulisababisha Julius Mtatiro aangukie pua

Yaani nchi hii sio ccm wala upinzani wana afadhali wote washenzi tu
Mkuu sio ubinafsi shida ni kwamba Ukawa ulianza wakati tayari tumekaribia uchaguzi so wagombea wa vyama vyote tayari walishaanza kujijenga majimboni na kwenye kata ivo ikawa mgumu kuwaeleza mmoja asimame mwingine akae pembeni wakati wametumia pesa na muda wao kujijenga hio ndo challenge

ila kwa sasa naona suluhisho ni kupanga kanda za kila chama kuwekeza huko na hiko chama kijijenge kuanzia mashinani hadi kikanda ili ikifika 2020 wasimamishe wagombea wao hilo eneo bila bughudha ya vya vingine maana kutakuwa hakuna kisingizio cha vyama vingine kusema niliwekeza cjui muda na pesa

Suluhisho la pili ni kuua vyama na kujenga chama kimoja kipya kitakachokuwa na nguvu ya kuiangusha ccm kwa umoja wao sio utengano kma sasa.
 
Ukweli ni kuwa ulafi wa madaraka unasababishwa na chadema, kama wameshapata madiwani wa kutosha kwa nini wasipige kura kuamua kati ya cuf na NCCR mmoja ndio angesimamishwa hapo, hili la kujiona kuwa wanakubalika sana kaskazini ndio linawafanya wanyime nafasi vyama vingine kukua ukanda huo.

kuu sio ubinafsi shida ni kwamba Ukawa ulianza wakati tayari tumekaribia uchaguzi so wagombea wa vyama vyote tayari walishaanza kujijenga majimboni na kwenye kata ivo ikawa mgumu kuwaeleza mmoja asimame mwingine akae pembeni wakati wametumia pesa na muda wao kujijenga hio ndo challenge

ila kwa sasa naona suluhisho ni kupanga kanda za kila chama kuwekeza huko na hiko chama kijijenge kuanzia mashinani hadi kikanda ili ikifika 2020 wasimamishe wagombea wao hilo eneo bila bughudha ya vya vingine maana kutakuwa hakuna kisingizio cha vyama vingine kusema niliwekeza cjui muda na pesa

Suluhisho la pili ni kuua vyama na kujenga chama kimoja kipya kitakachokuwa na nguvu ya kuiangusha ccm kwa umoja wao sio utengano kma sasa.
 
Hiyo clip imefanyiwa editing ya sauti lakn hata kama Lowassa nchi alichukua ndo maana kila mda mtumwa mumuongelee mnamuogopa kwel kweli na bado na bado na jins mkulu anavyowageuza machizi wa
Watanzania tukutane 2020
 
Ni kweli kabisa huu usanii wa kuunganisha vyama kwann wasivunje vyama vyote waanzishe wasajili chama kimoja kuiondoa ccm itakuwa kama kumsukuma mlevi watu hawaipendi ccm wanaofia kuruka mkojo wakakanyaga mafi
Nakubaliana na wewe wafanye kama Ghana. Ghana mpaka chama cha Nkrumah kilifaulishwa na Jerry Rawlings na kukianzisha upya na katiba mpya ya Ghana mwaka 1992
 
Katika hali ya kushangaza Lowassa alijikuta akimuombea kura mgombea udiwani wa CCM, Julius Savoyo katika jimbo la Arumeru aliposema wananchi wa kata hiyo wanapaswa kumpa kura na kumuweka madarakani mgombea aliyeshinda katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2015, pasipo kujua diwani aliyeshinda wakati huo na kutenguliwa na mahakama ni wa CCM.

“Wananchi wa kata hii hamna kazi ngumu katika uchaguzi pamoja na makosa yaliyofanywa na vyama vya Ukawa ya kusimamisha wagombea kila chama, hakikisheni mnamrejeshea udiwani yule aliyeshinda wakati ule ili aendelee na kazi yake,” alisema Lowassa.

Hii inadhihirisha kuwa Mh. Lowassa hakufanya haya kwa bahati mbaya bali ni ukweli uliopo ndani ya moyo wake, kwa kuwa hata akijifungia chumbani kwake peke yake, anakubali CCM.

Katika uchaguzi wa mwaka juzi pia Lowassa alijikuta wakati mwingi akiwanadi wagombea wa CCM badala ya Ukawa.

Network ya mshikaji ni 2G. Kuna ck ataanguka jukwaani. Wamshauri apumzike. Kama alshindwa Dr Slaa ataweza Lowasa?
 
Walikuwa wanawalaumu CUF,mbona NCCR Mageuzi nao wamesimamisha mgombea?.
Mkuu ukweli ni kuwa chama pekee cha upinzani kilichokuwa kinapiga operesheni za kujijenga nchi nzima ni chadema pekee huku bara sikuona kma lipumba au mbatia walifanya mikutano mingi sana.

Sasa chadema wakawa wamejipanga kusimamisha wagombea nchi nzima na kata zote kabla ya ukawa kuanza 2014 hivyo ikawa vigumu kushawishi hawa jamaa wa chadema waliopiga operation nchi nzima kuachia wagombea wa vyama kma nccr ambavyo havikuleta amsha amsha ya mikutano na maandamano kma chadema huo ndo unapelekea nyie kusema chadema ina uchu wa madaraka.

Ila kwa kuwa kuna umoja sasa naamini wagombea watajulikana mapema na vyama vitaachiana maeneo kujijenga ili ikifika 2020 vyama vyote viachiwe majimbo kutokana na kazi ya kujijenga walioifanya
 
Tumewaleta ukawa kwa kazi maalumu wakimaliza .lowassa hajarudisha kadi ya ccm bdo.
 
Inaonyesha mh. hakujua nani alikuwa mshindi wa kwanza.
Mimi sijakuelewa mleta mada. Alishinda halafu akatenguliwa na mahakama,baada ya kutenguliwa si akapewa ushindi mtu mwingine au!? Na huyo aliyepewa ni wa ccm au cdm!?
 
Back
Top Bottom