Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Moja ya sehemu ya jarida la 'Tanzania Country report' linalochapishwa na the Economist Intelligence Unit ya Uingereza linaonesha kuwa Lowassa ni mzuri katika 'to get things done'. Video hii inaonesha uwezekano wa ukweli kwenye uchambuzi wa jarida hilo. Hivyo akipewa Urais ile vision 2025 ina uwezekano mkubwa wa kuwa 'to get done' kwa asilimia kubwa.
Last edited by a moderator: