Lowassa ni msafi, lakini kwanini aliitwa fisadi?

Lowassa ni msafi, lakini kwanini aliitwa fisadi?

Really rubbish, completely rubbish.Your language is really irritating, a really gentleman would never stoop so low, and spend his time writing such a ----. Why dont you spend your time to do something more constructive and productive than wasting it by writing completely ----. Your language is really irritating to be honest. JF comprises of people with dignity and manner. Mungu akusadie sana.

Mutaongea sana, lakini Lowasa ndiyo kashaingia chadema
 
BAVICHA walishatoa tamko tangu 2008 kuwa Lowasa ni fisadi akamatwe,kuhojiwa na kushitakiwa
 
Bintiwangara

Kwenye ripoti ya Richmond, Mh. Lowasa alitajwa kwa jina na cheo jinsi alivyohamasisha maamuzi yaliyotolewa. Hakujiuzulu kwa kuwajibika kwa mambo waliofanya watendaji wa serikali bali kwa mambo aliyofanya yeye mwenyewe. Kasome upya ile ripoti ya richmond, bado ipo ukiihitaji. Kama atataja na wengine kuwa nao ni mafisadi itakuwa vyema kuwaongezea Watanzania uelewa wa viongozi wao lakini haitapunguza hata nukta moja ufisadi wake yeye kama Lowasa. Bahati mbaya Mwl. Nyerere aliuona ufisadi wa huyu bwana 1995. Kamwe Lowasa hatakaa aapishwe kuwa rais wa Tanzania. Chama kitakacompokea Lowasa kimeamua kufa naye kisiasa kwa sababu huo ndio mwisho wa hicho chama vile vile. CCM waliona kuwa Lowasa anaua chama chao wakamvua leo wengine wanampokea ili wafe; au ni lile goli la mkono alilosema Nape?

Kwanini wajumbe wa Kama ya mwakyembe hawakumhoji Lowassa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom