Lowassa ni Laigwanani aliyetukuka

kibanga 3

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
1,380
Reaction score
977
Niko hapa nafwatilia msiba wa Joseph nkaissary namwona lowasa nae yumo ama Kweli wamasai wanapendana nimevutiwa na umoja wao usio tambua mipaka ya nchi hongereni sana wamasai wa tanzania mkiongozwa na laigwanani Mkuu lowasa hongereni sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sawa lakini huo msiba ni sehemu yake ya kutafuta Kiki.
Mkuu weka na picha ili umuuze vizuri.
 


Fisadi Lowasa ni Tapeli mkubwa kuwahi kuishi hili eneo, Wakenya wa jamii ya Kimasai wanajua Lowasa ni Mmasai kumbe ni UONGO!
Lowasa ni Mbantu wa Kimeru/ Machame kama Mbowe!
 
Fisadi Lowasa ni Tapeli mkubwa kuwahi kuishi hili eneo, Wakenya wa jamii ya Kimasai nuaaa Lowasa ni Mmasai kumbe ni UONGO Lowasa ni Mbantu wa Kimeru/ Machame kama Mbowe!
Mmeru... kumbe hata wewe unafahamu hayo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…