Lowassa nenda Igunga kama wewe msafi


hakika mfuasi wa nepi utamjua tu,hajifichi
 
Awezi kwenda kwani yupo monduli anapigana na chadema wasimnyanganye Diwani
 
ccm bana, kwao kustaafu na kujiazuru ni sawa eti sasa hivi huku igunga tunaambiwa rostam ni mbunge mstaafu,
 
Mi naona siku zinavyo kwenda watanzania wanazidi kurudisha imani yao kwa mwizi wa rasilimali zetu na mmoja kati ya waliotuingiza kwenye mikataba mibovu inayo tutesa hadi leo. Lowa$sa ni mmoja kati ya walio asisi matatizo ya umeme na mfumuko wa bei, lakini nasikitika sana kuna watu wasio wazalendo walio huku jf wanamsafisha! Pengine wanalipwa lakini mlaaniwe wote mnao potosha ukweli watoto wetu watawalaani kwa kuwaachia nchi isiyo na kitu, mmeuza kila kitu kwa wageni kwa manufaa yenu binafsi, hakika mungu hatawaacha!
 
aende kama nani? Acha umbumbumbu

Kwani Esther Bulaya kaenda Igunga kama nani? Husitake kuniambia kuwa ni chakula ya wazee, mie naamini kaenda kupiga kampeni as Mbunge wa Magamba. Hivyo hata Lowassa pia anaweza kwenda kwa kofia hiyo hiyo.
 
mbona sitta na mwakyembe hawaendi nao
 
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?

Jeuri ya Lowasa kiingia Igunga Hana watamzomea kwani yeye ndie aliechangia RA kujiondoa madarakani Pole yake mangula nadhani ni njaa ndio imempeleka Igunga kwani ktk hali ya kawaida jinsi alivyorupwa Mangula ktk utawala wa JK Asingekwenda kuharibu jina lake na muda wake .
 
Lowassa! Kwa ushauri wangu wa bure,Usitie mguu! Wa watapetape maana wemeshakuchafua ndefu.
 
Awezi kwenda kwani yupo monduli anapigana na chadema wasimnyanganye Diwani



Ni kweli kabisa mkuu. Moto waliouwasha cdm huko Monduli katika uchaguzi wa diwani, jamaa imembidi aweke kambi kabisa maana hali si shwari! Kiti hicho kipo rehani!
 
Napita tu, naelekea kwenye chai labda Mungu akipenda tutaonana baadaye.
 
Kwani Esther Bulaya kaenda Igunga kama nani? Husitake kuniambia kuwa ni chakula ya wazee, mie naamini kaenda kupiga kampeni as Mbunge wa Magamba. Hivyo hata Lowassa pia anaweza kwenda kwa kofia hiyo hiyo.
Mkuu acha uchokozi....! Hahahaha...!
 
Lowassa ataendaje wakati naye yupo njiani kufanya Monduli kama Igunga?
 
Mwenyewe anapinga ciasa uchwara,hawezi kuambatana na wenye upeo mdogo wa kujidhalilisha wenyewe,ana maamuzi magumu yasiyo makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…