Lowassa ndani ya Moshi leo

Babeli nenda mirembe mwenyewe una matatizo ya akili usisubirie kupelekwa ndugu yangu
 
Hata unapokuwa kwa mkeo/mmeo huhitaji maneno meeeeeeengi kutaka mambo yetu yale kwani tayari ni wako. Hata EL hahitaji kutumia nguvu, hata akisimama jukwaani na kusema "nimekuja kuwasalimu" kwetu inatosha kabisa, kura haitapungua hata moja. Tatizo CCM wanatumia nguvu nyingi kusaka kura. Sisi tunasubiri tu siku ifike.

 
Kwa ufupi ni kwamba:
EL hahitaji kutumia nguvu, hata akisimama jukwaani na kusema "nimekuja kuwasalimu" kwetu inatosha kabisa, kura haitapungua hata moja. Tatizo CCM wanatumia nguvu nyingi kusaka kura. Sisi tunasubiri tu siku ifike.
 
Haya shika kalamu na karatasi tuanze kuhesabu MAFISADI upande wa CCM na upande wa UKAWA. Nijulishe ukiwa tayari ili tuanze kuhesabu pamoja...

Yaani leo Magufuli akipita hapa,na yeye kesho yake yupo,hana jipya huyu mamvi fisadi
 
Tulishawambia sisi tunamtaka Lowasa mbona hamuelewi nyieeee eboo
 
Huyo lofa huyo,yani anapita nyumanyuma kwa wenzie tuuuuuu!!!

Nyie mtangulie mbele kwanza kupiga pushap na mapanga na matusi ss tunakuja kistaarabu na ndo maana wanatufuata hamjawaambia lolote
 
Huyo Yahaya ndio Davis?Maana naona wengi wanasema hivi mimi sielewi.

Ndio wanamuita hvo sababu hawajui anaishi wap na wenyewe wanakwambia mbunge wao ni JAPHARY RAPHAEL MICHAEL
 

#HapaGizaTu
#KidumuKimetoboka
#Sera1😛ushUp
#Sera2:Matusi
#sera3😛ropaganda
#sera4:Wasanii
#sera5:Malori
 

Sasa kama hafai unampa mbinu ya nini?

1)Elimu 2)Elimu 3)Elimu
 
Yaani leo Magufuli akipita hapa,na yeye kesho yake yupo,hana jipya huyu mamvi fisadi

Kama hadi Raisi wa nchi anaogopa kumfungulia mashtaka na kumfunga hujiulizi huyu mtu ana nguvu gani??

Mpe kura yako bibie
 

tuliza mshono
 
Inabidi Fisiem wapite kuwapa wananchi Fiesta ya bure, then makamanda waje kutoa sera ni akili simple tu namna hiyo, usijiulize kwa nini anaanza Pombe anafatia Lowassa
 
Huyo Yahaya ndio Davis?Maana naona wengi wanasema hivi mimi sielewi.

Katika kampeni zake baada ya kushindwa kujibu swali kuwa endapo yeye ni mwenyeji wa Kiboroloni aonyeshe nyumba yake ilipo, kisha yeye akaonyesha ya dada yake. Watu wakamuwekea wimbo wa YAHAYA huu





Kule anajisumbua hakubaliki DAVIS jimbo la CHADEMA lile.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…