engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Hello jf members i am new in this forum. Plz nkrbshn
Mwizi aliyekubuhu hatujasahau bado labda atatawala kizazi hiki kikiisha kabisa kama yeye atakuwa ndie pekee kabaki mwiziI have always been positive of this man.
Lowassa tukisema ukweli is very visionary, sifa ya kiongozi ni kuwacna maono, anayependa umoja, mwenye ujasiri katika kutoa maamuzi sahihi kwa wakati anayewajibika, mwadilifu, msikivu na mwenye majibu katika kuwaongoza watanzania, Lowassa kwa CCM, anakijua chama chake na historia yake,ndo maana kwa watu wasioelewa mambo wanalazimisha eti ajivue gamba kwa kuondoka sababu eti ametajwa tajwa Richmond, loooh.
Unajua kwa mwanasiasa yeyote makini lazima ujiulize unapotka kufukuza mtu ambaye anasupport kubwa kiasi hiki,na watu tumeona nini amelifanyia hili taifa unakua haueleweki. Jamani, mimi sijawahi kupewa hata kumi moja na huyu Mzee, tukiwaambia watu kuwa huyu jama hata kama mnasema ni tajiri, Lakini anazo sifa zisizo na mashaka katika kuongoza hili taifa
Siyo waziri mkuu staafu,ni waziri mkuu alijiuzulu!Huyu mzee kahamia makanisan sa hivi!kampeni zake zimekuwa makanisani!kwanini asialikwe mwingine kuchangisha?yeye ni kama nani!?
Mwizi aliyekubuhu hatujasahau bado labda atatawala kizazi hiki kikiisha kabisa kama yeye atakuwa ndie pekee kabaki mwizi
Ukitaka kufikia maendeleo unayoyatazamia inakubidi ujitolee sana, utengeneze njia na ujiwekee mikakati ya kukufikisha huko and you have to do that while the other people are sleeping. Jamaa wanamchana kwa maneno lakini anachanua, may be its time people you change tactics before its too late.