Lowassa: Nachukia Umasikini

Unamzungumzia Lowasa yupi?

Edward Lowasa kasema anauchukia UMASIKINI hivyo sioni kama ni busara kufanya upotoshaji unaolenga kuleta chuki.
 
waongo na wazushi kama hawa, mods futilia mbali. jf yote tuungane kupambana na ccm, hi ndiyo imelazimisha hadi sheria inayotunyma uhuru wanajf ipitishwe kwa mizengwe, anayeichekea hii sheria na ccm afukuzwe tu jf.

Jf sio ya mamako wala babako... kama vipi anzisheni forum yenu we na mumeo ili muwe mnachangia wenyewe misukule ya chadomo
 
Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Ww km ni kibaraka wa jezi ya kijani, wambie waliokutuma nimechemka kuwadanganya wana jf
 
NONSENSE kabisa hii. Wapuuzi kama hawa sijui wanatoka wapi
 
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.

Tutafakari pamoja kauli hii

Kasema anachukia umasikini, mbona ccm nanahangaika sn..
 
Akijitambulisha kujiunga na UKAWA ndugu Edward Lowassa amesema kuwa anawachukia masikini.

Tutafakari pamoja kauli hii

Ondoa mharo wako hapa wewe, unajifanya hujui kiswahili... we mkongoman nini utakuwa
 

Mkuu umeniwahi, swali zuri hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…