Lowassa: Niaje dogo..!
Zitto Kabwe: Shwari, vipi mamvii...
Lowassa: Poa, vipi urais shs ngapi..??
Zitto kabwe: Billion 20
Lowassa: Haaa nyepesi, punguza kidogo
Zitto Kabwe: Kwani mamvii una shs ngapi...???
Lowassa: Buku 10....!! Si unajua CCM imegawa sana mpungaaa...
Zitto Kabwe: Ndoroboooo wewe, si bora uende UKAWA wakupokeeee...!!