Lowassa na Sitta, nani mkubwa kiumri?

Samwel Sitta alizaliwa tarehe 18 December 1942 na Edward Lowassa alizaliwa tarehe 26 AUG 1953.

Kwa hiyo Samwel Sitta ana miaka 72 na Edward Lowassa ana miaka 61.
Wote hawafai kuongoza nchi hii . Kwa sababu wote wako ccm.
 
Mkuu umefanya utafiti wa kutosha juu ya hili?

Kule kwetu ukiona babu ana nyumba ndogo basi mjukuu anatumwa aende mle nyumbani kwa nyumba ndogo avue nguo zote halafu atoke amevaa khanga moja ya huyo bi mdogo ili babu ajue wanaokula ni wengi
 

Una maanisha huyu wa chalinze ndiyo wa mwisho siyo??au
 
Wana jamvi napenda kujua kati ya wawili hawa nani ni mkubwa kiumri zaidi ya mwenzake?lakini pia kitaalum nani zaidi kwa wanasiasa hawa maarufu nchini tanzania?

Kiumri Sitta ndo mkubwa. Kwa level ya Elimu ngoja niingie kwenye database yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…