Jamani mwacheni Lowasa wa Watanzania afanye kazi ya Mungu vizuri kabla pazia la hekalu halijabomoka!!! Nawajua enyi watanzania wenzangu ni wepesi kulaumu ila wazito kushauri na kushiriki!! Na nadhani mtoa mada una matatizo yako binafsi na huyu Mh Lowasa, ina maana mesahau mazuri aliyoyafanya enzi zake akiwa kwenye mifugo????
Mungu ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania na Mungu mbariki Lowasa!!!