balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,570
- 15,244
Cha kawaida sana
Ukijibiwa nitagKuna mtu ananiuliza hapa
Kuna wimbo unaimbwa sana kuwa Lowassa ni fisadi, lakini mbona ripoti zote hizi hajatajwa au ndie aliyepokea 200 USA dollars?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ananiuliza hapa
Kuna wimbo unaimbwa sana kuwa Lowassa ni fisadi, lakini mbona ripoti zote hizi hajatajwa au ndie aliyepokea 200 USA dollars?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mafisadi ipo au haipo?Ni fisadi, ila wako wengine wote, yeye alipatikana fisadi na akauacha uwaziri mkuu, unataka report gani ingine? au ile ya nyerere aliyomfukuza dodoma??
mahaba yako hayawezi kubadili usiku kuwa mchana!! Lowassa ni fisadi, chama makini cha makamanda CDM walisema hayo, wakamtangaza mwembe yanga!!