Hili la Lowassa kuguswa na vijana limeanza baada ya uchaguzi wa 2010. Data zote walizo nazo CCM na tume ya uchaguzi zinaonyesha kuwa vijana kwa idadi kubwa hawakuipigia CCM katika uchaguzi huo. Ukizingatia kuwa watoto waliokuwa na umri wa miaka 13 mwaka jana watakuwa ni vijana wanaoweza kupiga kura 2015 hauhitaji mtaalamu wa sayansi kukuonyesha ni kwa nini Lowassa ameanza kuzungumzia ajira ya vijana. It is purely political opportunism.
Namkubali sana EL coz ni mchapa kazi na anaguswa na matatizo.
Namkubali sana EL coz ni mchapa kazi na anaguswa na matatizo.
Ungetembelea pia maeneo ya Kisarawe, Chanika, Pugu, Bagamoyo, Mlandizi na mengine ya pembezoni uone jinsi ardhi kubwa iliyo na rutuba ikiwa haina cha kufanyiwa... ni mawazo ya nyongeza tu... Nimefanya ziara fupi isiyo rasmi kuzunguka katika baadhi ya maeneo hapa Dar-es-Saalam...
Sehemu nilizo kwenda ni Kariakoo,Tandale,Ubungo mataa na Tandika sokoni...
Tunashindwa kukujibu kwa kuwa hueleweki unaongelea nini. ipi ni mpasho katika yaliyoongelewa? eleza kwa ufasaha uelimishwe. maana ujinga si kosa dawa yake ni kuelimishwa tu.acheni kujadili watu,kila siku Rostam,lowassa na jk tangu mmeanza mipasho mmwaathiri nini? mmezuia wizi gan?kwenye masanduku ya kura wanapita (iwe kwa wizi au ushindi wa kimbunga), MLALAHOI ANALALAMIKA NA GREAT THINKER NAE ANALALAMIKA sasa tofauti yenu ipi? au nyie ndo mloingia JF fungulia mbwa!!!!,anzeni kuleta mijadala tofauti na ya vijiweni,niambieni nchi gan imekombolewa kwa style ya mipasho??
acheni kujadili watu,kila siku Rostam,lowassa na jk tangu mmeanza mipasho mmwaathiri nini? mmezuia wizi gan?kwenye masanduku ya kura wanapita (iwe kwa wizi au ushindi wa kimbunga), MLALAHOI ANALALAMIKA NA GREAT THINKER NAE ANALALAMIKA sasa tofauti yenu ipi? au nyie ndo mloingia JF fungulia mbwa!!!!,anzeni kuleta mijadala tofauti na ya vijiweni,niambieni nchi gan imekombolewa kwa style ya mipasho??