Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 102
But anything can happen Guys..!
duh, hapo no comments wadau
Hulazimishwi kuwepo km huoni jipyaMwaka mpya na mambo mapya lakini jf hakuna mambo mapya ni yaleyale kila siku
Nilishutumiwa sana niliposema kwamba Lowassa ni zigo la mavi ambalo halibebeki na hata likibebeka halipokeleki. Wapambe wake ndani na nje ya JF wana upofu wa kushindwa kuona mwelekeo wa watanzania. Wameshajua kwamba wako hapa walipo kwa sababu ya ufisadi uliotamalaki na ambao sura yake ni Lowassa.
Leo porojo na propaganda za ajira kwa vijana anazojaribu kuzitumia kama kivuko zimeonekana wazi kwamba ni tatizo pana kuliko anavyolieleza na yeye katika utumishi wake wa miongo zaidi ya mitatu hajawahi kuonyesha juhudi zozote za kulikabili ili kujijengea imani ya kwamba anaweza kupambana nalo. Wamasai wake wa Monduli wamemkimbia na kuja kufanya kazi za ulinzi na ususi Dar es Salaam. Wana maliwato wake wanapaswa kuelewa kwamba mtu wao ni janga la Taifa machoni mwa watanzania.

Ila jamani wanaJF,nani anaweza kuwa mkali ndani ya sisiemu zaidi yake?ila sijui atapitaje vizingiti vya mafisadi wenzake ambao wataona yeye ni tishio kwao,jamaa ni mwizi ila ana uwezo kukemea sio braza pinda shati tu
mpeni lowasa nchi hapo atafanya kazi kuonyesha mzaniaye ndiye kumbe siye hehehehehehehe naota tu

siku akisafishika na kuwa Raisi ndio siku nitakayo acha jadili siasa na kuwa mtazamaji