MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Wakati alipotaka kwenda kwenye msiba alipigwa stop! Akaambiwa atahatarisha usalama,akawa mpole! Akaamua kufanya ziara kuwatembelea wananchi kapigwa stop kwa kuelezwa kua atahatarisha usalama wake! Duh hii kali!
Si awekwe kizuizini tu tujue moja! maana hayuko huru.Kama anahatarisha usalama wake basi apewe ulinzi! Hivi kuna hofu ya nini juu ya huyu mtu?Tunakoelekea huko yetu macho
Si awekwe kizuizini tu tujue moja! maana hayuko huru.Kama anahatarisha usalama wake basi apewe ulinzi! Hivi kuna hofu ya nini juu ya huyu mtu?Tunakoelekea huko yetu macho