Wana ukawa tusikate tamaa mungu habishani na mwanadam..KIPANDE CHA UNABII HIKI HAPA 'Kisha nikaona upepo uliotokea kanda ya ziwa ukipata alama nyingi za kukubalika siku ya kwanza ya uchambuzi wa alama kiasi kwamba ilisikika kila kona upepo huu utatawala miti ile. Ghafla siku ya pili ya uchambuzi wa alama za kukubalika, upepo unaotokea mlima Meru ukapata alama zaidi na kuishangaza miti mingi, japo nguvu yake kubwa iliongezeka kutoka kwa miti mingi ya visiwani. Miti hii ya visiwani iliokoa na kuongeza zaidi alama za upepo uvumao kutoka Mlima Meru. Kisha nikaona malaika akiandika alama katika ubao na hesabu yake ilikuwa mikono kumi na mmoja na nyongeza ya nukta kadhaa. Naliona utata ukitokea katika kuwekwa wazi kwa alama hizo lakini baada ya msuguano Mungu aliingilia kati, kisha nikaona miti ikishangilia sana kwa sababu ya upepo utokao mlima Meru. Haikuwa rahisi alama hizi, mikono kumi na mmoja na nyongeza ya nukta kadhaa kuwekwa wazi lakini Mungu aliingilia kati na nikaona ubaoni andiko hili (MITHALI 16:31).
....>>nauona ujambazi Wa kura kila upande!
.....>>majizi yameshupaza nyuso zao!
lipo jumbo moja Edo amepata kura 32,000.....
lakini bila woga wala aibu ,ilitangazwa amepata kura 6,000 tu....
@TUREJESHEHENI KURA ZA EDO 24,000......
Hata Mimi naweza andika maelezo mengi ni nikamalizia nabii Fulani ivi umnafikiri sisi wajinga mtu kwanza kujitangaza kwenye makanisa kila Kanisa anaingia na kujifanya mcha Mungu na mtatabili sana Mwaka huu tushamchinja akijitangaze kwa waganga Wa kienyeji sasa sauti ya Mungu ishaonyesha ni magufuli kazana kuwajaza funza vijana wasiojielewa
Wana ukawa tusikate tamaa mungu habishani na mwanadam.KIPANDE CHA UNABII HIKI HAPA 'Kisha nikaona upepo uliotokea kanda ya ziwa ukipata alama nyingi za kukubalika siku ya kwanza ya uchambuzi wa alama kiasi kwamba ilisikika kila kona upepo huu utatawala miti ile.
Ghafla siku ya pili ya uchambuzi wa alama za kukubalika, upepo unaotokea mlima Meru ukapata alama zaidi na kuishangaza miti mingi, japo nguvu yake kubwa iliongezeka kutoka kwa miti mingi ya visiwani. Miti hii ya visiwani iliokoa na kuongeza zaidi alama za upepo uvumao kutoka Mlima Meru.
Kisha nikaona malaika akiandika alama katika ubao na hesabu yake ilikuwa mikono kumi na mmoja na nyongeza ya nukta kadhaa.
Naliona utata ukitokea katika kuwekwa wazi kwa alama hizo lakini baada ya msuguano Mungu aliingilia kati, kisha nikaona miti ikishangilia sana kwa sababu ya upepo utokao mlima Meru.
Haikuwa rahisi alama hizi, mikono kumi na mmoja na nyongeza ya nukta kadhaa kuwekwa wazi lakini Mungu aliingilia kati na nikaona ubaoni andiko hili (MITHALI 16:31).
Huu mpango uliosemwa wa mungu sijui unaendeleaje sasa?Hivi nyie mnamchukulia Mungu kama msela fulani hivi wa kitaa au siyo. Lowassa ni binadamu kama wengine na Mungu hana mpango wa ziada naye zaidi ya kumtumikisha kama binadamu wengine. Acheni kucheza na Mungu.