yanapigwa kotekote...Rorya tunamsubiri sana......heri nichague jiwe kuliko ccm....Tukiwa na miaka 23 ktk upinzani nina uzoefu zaidi kuliko Lipumba,dr.slaaWakuu kama kawaida yetu wapenda mageuzi tumejazana kwenye uwanja wa mpira wa shule ya msingi Urambo tukimsubiri mtu aliyebeba robo tatu ya matumaini yetu watz ktk kutukomboa kutoka kwa mkoloni mweusi Ccm, kina mama wao mida hii wanapewa chakula cha uzima na mama Regina katika ukumbi wa victoria uliyopo hapa hapa Urambo, naomba kuwasilisha!!
Kila lakher wana Tabora