Lowassa, Membe out, Mwigulu ndani

Lowassa, Membe out, Mwigulu ndani

Hii mbona siyo siri.lowasa aanzishe chama chake aondoke na wanachama wanaomtaka.
 
Urais inaonekana ni kitu cha mchezo sana hata mwiguru nae anautaka ? Na saada nae ataingia bila kumsahau hawa ghasia, mambo ya msingi na uhai wa watanzania mnaleta utani.
 
Mwalimu Nyerere alisema watanzania mkipa nchi huyu Edward atawauza huyu.
 
Mwigulu ni waziri mkuu katika serikali ya Lowassa hilo ulijue.
 
Kijana inaonekana bado una hangover za jana, ingawa ni kweli kila Mtanzania anaombea CCM wamkatae mwizi Lowassa!
Si kweli kuwa kila mtanzania, hata Lowasa ni mtanzania na ccm ni watanzania. Sasa kama kila mtanzania anaombea ccm wamkatae Lowasa in maana Hata Lowasa nae hajitaki!?
 
MaCCM yanaruka na kukanyagana

Waache na watatoweka na kusahaulika kama kizazi cha Dinosaurs. Tutabaki kuwaangalia kwenye TV. wakiadhimisha sikukuu za MAPINDUZI, MASHUJAA, TANU na miaka 50 ya uhuru.
 
Si kweli kuwa kila mtanzania, hata Lowasa ni mtanzania na ccm ni watanzania. Sasa kama kila mtanzania anaombea ccm wamkatae Lowasa in maana Hata Lowasa nae hajitaki!?

Usoni anajikubali, lakini moyoni anajijua kuwa hafai kuwa Rais wa nchi....nafsi yake inamsuta kwa mabaya aliyowafanyia Watanzania kwa ufisadi wake😱
 
Back
Top Bottom