Lowassa, Membe out, Mwigulu ndani

Lowassa, Membe out, Mwigulu ndani

CCM wamekuwa kama nyani ambaye siku za kufa zimefika kwani kila mti wanaojaribu kushika unateleza, mwisho wataishia kupigwa rungu la kichwa.
 
endelea kuota..
viva TEAM lowassa
 
Last edited by a moderator:
Tumia muda wako vizuri, jifunze mambo ambayo no muhimu katika maisha yako badala ya uongo!
Newss = News
 
Aje yeyote ila sanduku la kura litaamua mwaka huu hakuna ujanja. WaTz tumechoka kuendeshwa na wachumia tumbo
 
lowassa akipigwa chini / watanzania kwa ujumla wetu tuikane ccm Mara 70 elfu/ na hapo binafsi ndipo nitakapo kuwa sio mwana ccm TENA/
 
Mwigulu na wapambe wake wanatuchafulia tu mabango barabarani kwa kujitangaza.
 
Back
Top Bottom