Lowassa, Meghji, Airo hoi bungeni


Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!
 
Kusema ukweli mi napenda sana kipindi cha bunge hasa hawa watu wakiongea mnyika,mdee na zitto.
Wananikosha sana.
Wao wapo kazini mie burdani kwangu.
Wao ndiyo walionifanya nianze kupenda kuangalia bunge .
Na wasipochangia nasinzia sana.
 

Afadhali mimi ni mjinga lakini wewe ni mpumbavu! sababu wabunge wenu wanatabia ya kuropoka ropoka wakidhani wanauwezo mkubwa wa kushambulia au kuchambua hoja bungeni! lakini mara nyingi hao wenye kuropoka wanakamatwa na kanuni na sheria za bunge utafikiri hawakwenda shule na nyinyi mnaona kufukuzwa na kutolewa nje ya bunge ni starehe kumbe ndivyo mnavyodhihirisha ulimbukeni bungeni!
 
Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!

Sasa bungeni wanfuata nini? Is wakafungue NGO wawasaidie watu, na kuacha wengine wawe wabunge na kuwakilisha wananchi.
 
peleka unafiki wako huko yani unataka lowassa abishane na mnyika ,lowassa ni mtendaji siyo copo tupu hawezi kushabikia kelele za chura. mnyika alikuwa hachangii chochote hata hoja moja ya kufanya nchi kufika malengo yake bali walikuwa wanabishana na mwigilu na jazba zake za kutafuta umarufu ,ubungo tuna shida ya maji hata siku moja hawasilisha bungeni ,hata mwndishi wa makala hii nina shaka na kaelimu chake,
 



Wale wanaoweza kuchakia Maendeleo kwa wananchi na bungeni wanabaki mabubu ,nawashasuri wakafungue NGO
 
hizo ni picha tu bila ya chenga......................Bungeni lazima uchangie vinginevyo si ukae kwenu?
 
Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!

mkuu, wew na unayemuunga mkono hamko sambamba. yey anasema kuchangia bungen ni muhmu wew unasema akitoa mafweza kwa wa2 inatosha maana naye ndo mchango wake. unaona?
 
Sasa wakuu mnataka LOWASSA aulize nini??? halafu amuulize nani???

yey angejikita zaid kwenye mambo ya kitaifa na kimataifa na then jimbon kwake. kwamfano kuhusu ufisad, mikataba, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…