Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.
Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??
Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??
Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.
naomba nipewe mamlaka ya kutangaza matokeo kwa ambae hataonekana i.e refaElungata,natamaani tucheze game ya find me,I find you.Atakayeonekana Jf baada ya wiki moja ameshinda.Uko tayari? just bet!
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.
Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??
Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??
Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.
Uhai wa yesu ambaye aliukomboa ulimwengu ni ghali sana kuliko uhai wa huyu ndugu anayetaka kuokoa nyie wenye macho lakini hamuoni!!! isingekuwa baadhi ya watu kuona uhai wa si mali kitu kuliko uhai wa hili taifa leo idd amin angekuwa anatawala? tsu ilikuwa ni mwanamke aliyeporwa urais nchini burma utawala wa kidhalimu ambao ulikuwa chini ya mwanajeshi aliyegombea urais na kushindwa na Tsu utawala wa kidhalimu uliuwa watu,ulifunga watu jera yule mama aliwekwa kizuizini. dunia iliutambua mchango wa nobel aliyopokelewa na mwanaye yeye akiwa kizuizini nchini inasikitisha lakini udhalimu una mwisho.nafuu ufe kwa hiyo pressure kuliko kujitoa uhai
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.
Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??
Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??
Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.
wakichelewa watakuta tushapoaa,
hajabet bado mkuu ila akikaa kimya tuuchukulie ukimya kama ndio
Mkuu sisi tunadhulumiwa na kufanyiwa dharau na wewe unaona bado amani?
Miyoni kwetu moto unawaka na wewe unaona amani,kweli amani??
acheni ujing nyny wenznu wamachochea ugomvi alfu wanaenda kukaa nje ya nchi alfu wanawaacheni muuwane wenyew
Wameshindwa kihalali ndo maana wapo kimya,wanaheshimu maamuzi ya watanzania wengi
2Nasubr watamke 2 tufanyie kazi tamko naona wanataka ku2zoea
Dnt pic troubles with people you don't know!