Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Mm mwenyewe na shangaa ndo maana nasema zitto na slaa walikuwa na upeo mkubwa tutawakumbuka sana kuliko hawa tulionao kwahili
 

SIKIA ILI JINGA!
we ni Nyumbu namba moja Tz, yaani gorikipa wa manyumbu Tz!
Unataka tamko gani kwa mfano?
Ingia Road basi au msituni...
Tena nyumbu kama nyie serikari itawaogesha na maji ya ----- tu kwisha habari yenu! hamna ata aja ya kutumia bomu za machozi au siraha za moto!
Ukiona maboss wako wamekaa kimya jiongeze., usitujazie server na kusumbua askari wa mitandao.
 
Kinachoniuma ni suala la watoto wangu kukua na kuikuta ccm madarakani.
 
aiseee mi pia nasubiri, lakini Lowassa anaonesha uelekeo.
 
polisi wetu wako tayari kwa lolote..ole wake panya ywyote aonekane analeta upuuzi
 
guys... inabidi tusiwa pressure hawa viongozi wetu... kipindi kama hiki wanatakiwa kua makini sana na statement zao na maamuzi ikiwemo ku tafakari impact yake.. hakuna mtu anataka kumwaga damu ya mwingine
 
Mkuu sisi tunadhulumiwa na kufanyiwa dharau na wewe unaona bado amani?
Miyoni kwetu moto unawaka na wewe unaona amani,kweli amani??

sasa c uandamane mwenyewe kwan mpaka utulilie humu?
 
Watangaze matokeo yao basi kama Maalim seif.
 

Jifanye kujitoa akili, ukihitajika utapatikana tu. Wenzio 192 walikuwa mpaka na wakorea walipomaliza ku update software ya uhalifu wakatambua kuwa " Ulipo tupo".
 
Mbona wameshasema hawakubaliani na matokeo? Hii inatosha kabisa.sio mpaka waseme tutoke barabarani!
 
Mkuu nakushauri upunguze munkari na ghadhabu za mkizi
kwani inakubidi ukumbuke kuwa "kuna maisha baada ya uchaguzi".

No sio kwa uchaguzi huu,sio Tanzania tena,watoto wangu ni wakiume,nikifyata mkia nikanyamaza ntakuja kuwaambiaje,ntakuwa na uhalali wowote wa kuwafundisha ujasiri?
Ntakufa nacheka ndugu yangu,na hata nikikamatwa kuteswa ntakuwa nacheka kwasababu ntakuwa sijausaliti moyo wangu.Nasubiria tu viongozi wangu.
 
Mi.nineamua tayari ctaki ujinga kabsa

Cwezi kuruhusu ujinga kutokea kwenye kura halali yangu kwenda kwingin
 

I think kuna haja ya mamlaka kujihadhari na mambo wanayoyafanya kuepusha mihemko kama hii. Have U ever heard abt underground movements? I think tujikumbushe wasomali na wakenya.
Serikali inapaswa kuwa makini zaidi na matendo yao kuepusha mhemko kama hii nashauri tu ewe askari wa mtandao ,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…