Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Serikali haiwezi kuwa na huruma na wanafiki nyie mnaoiombea mabaya kila saa.
 
Raia mwenye akili timamu yoyote hawezi kukubaliana na ujinga wenu, maandamano yasiyo na kikomo ni upuuzi na upotezaji wa nguvu kazi ya taifa. Subiri tar 1 utajua nani mkubwa.
Chini ya jua hakuna Mkubwa..Mkubwa ni Mungu pekee..pole yako wewe unaemwabudu na kumpigia makofi kwa unafiki japo unajua anakunyima haki zako za msingi na zinazotambulika kikatiba. Nafikiri nitakuwa wa kwanza kupigwa risasi hiyo tarehe moja September.. Na wewe utaishi milele. Waoga kama nyinyi ndo mnazidi kuzorotesha maendeleo ktk nchi zetu masikini za kiafrika.na wazungu wataendelea kutunyonya tu.
 
Acha uvivu, ukawa mlishindwa vibano uchaguzi pamoja na kutoa rushwa, kuleta watalaamu wa kudukua. Ukawa mtaendelea kikundi cha wahuni hasa chadema ambayo ilishakufa siku nyingi.
 
Alex hongera sana kwa ushujaa wa maneno, lakini matendo ndio hukidhi haja maridhawa kuliko maneno! , tumeisha sikia sana maneno na mahubiri ya kutosha kuhusu maandamano na mikutano ya hadhara ya Chadema kuhamasisha UKUTA nchi nzima, lakini kiukweli kabisa nasema kutoka ndani ya nafsi yangu kuwa hakuna maandamano wala mikutano ya hadhara nchi nzima hapo September Mosi! , kwa sababu mpaka sasa sijaona dalili ya maandamano au mikutano nchi nzima!, kilichopo ni maneno maneno matupu! ,lakini matendo. ...

Pasco
 
Ili genge LA kusaka ikulu liliivuruga ccm tangu mwaka 1993 CCM ilipolichoka ikalifukuza sasa na nyie ndo kansa inayowatafuta,
 
Tangu useme air force one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani nilikudharau sana.
 
Bro kwanza hayo maandamano yana tija gani kwa MASIKINI ? Yanadai maji ? Madawati kwa vijana wetu? Au madawa kwa wanyonge?
Ni upuuzi,
 
Serikali haiwezi kuwa na huruma na wanafiki nyie mnaoiombea mabaya kila saa.
Mnafiki ni wewe You know what? It is written all over your writings and body and mind!! We are talking about democracy! we are talking about rule of law here!! Would you mind to keep at bay when men are talking real issues please!!
 
Kucheka na ili genge LA wasaka ikulu lililoanzia ccm tangu 1993 adi likafukuzwa baada ya kulichoka , taifa litaangamia
 
Tangu useme air force one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani nilikudharau sana.


Na tangu ulivyonidharau nimepungukiwa na nini kama dharau yako kwangu ina maana yoyote ile maishani mwangu?
 
Kwakweli hakuna!! Yeye mwenye uwezo wa kuitawanya bahari, mapepo yakamtii asiye na mwisho kwakweli hakuna.
Bro nachofurahi ili genge lilioanzia ccm tangu 1993 likitafuta ikulu tu na kutengeneza mitandao ya wizi nchi nzima lilipofukuzwa likajiona bora sasa wameamua kufa nalo ,lenyewe linataka ikulu wala sio umasikini wa wanyonge ndo maana linapinga wananchi kuripa kodi linapinga hata maendeleo,
 
Na tangu ulivyonidharau nimepungukiwa na nini kama dharau yako kwangu ina maana yoyote ile maishani mwangu?
Kwako haina maana, kwangu ina maana. Hahahahah aisee wewe ni kiazi!! Eti ndege kubwa kuliko zote ni air force one?
 
haa haa kwa sasa too late. magu atawanyoosha mpaka mwisho. haki hupiganiwa....
Its never too late! Where there is a will, there is a way. Don't get too comfortable you maybe caught unaware.....just saying!
 
Wanaomfanyia vituko JPM ni Watu ambao hawataki walio chini waje juu kwa kutumia nguvu zao , wao wanachokitaka ni wao tu wawe juu hata Kama ni kwa njia za mkato, matokeo yake ndio haya ya kuleta fujo na Watu waache vitu ambavyo vitawaletea maendeleo na kujikita kwenye matukio yatakayo fifisha ustawi wawo. Tunajua kuna Watu hawapendi Shule za Watu wa chini wasipate madawati kwani watawashinda ki elimu , kuna Watu hawataki ATC kuwa na ndege zao kwani , Biashara zao zitakwama, kuna Watu hawataki Reli ya Kati ijengwe kwani wasingependa Watu wa sehemu zingine nao wapate maendeleo ya haraka na kuweka usawa wa kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…