Ktk kitabu cha kuli mwandishi alihitimisha kwa neno zito lisilo na mawaa lililojaa tumaini tele nalo ni "Lakini yana mwisho"Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.
Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.
Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.
Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!
Akili za kijinga kweli! Eti tunatunza amani!
Ok, sasa tumeitunza!
Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.
Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!
Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Dah afadhali umeniongelea..Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.
Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.
Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.
Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!
Akili za kijinga kweli! Eti tunatunza amani!
Ok, sasa tumeitunza!
Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.
Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!
Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Ktk kitabu cha kuli mwandishi alihitimisha kwa neno zito lisilo na mawaa lililojaa tumaini tele nalo ni "Lakini yana mwisho"
Magufuli and his team wafanye wafanyayo ila kama Firauni alikua na mwisho basi kauli hii iwakae 'lakini yana mwisho'
Thubutuuu...HAI na wenyewe watafanya maandamano yasiyo na kikomo ?
Jidanganye tu ufikiri mtu anakufa mara mbili wanasiasa wote wa upinzani hakuna mwenye ubavu wa kianzisha tifu bongo maana wale ni kama mishumaa tu upepo unatosha kuwazima.M 202, kunikamata sio ishu.
Kukamatwa kwetu imekuwa kawaida.
Ila kuna siku ubao utageuka, na ole wake mwanamke mwenye mimba au anayenyonyesha siku hiyo.
Kuna watu watasali na heri wasingelizaliwa!
Kwa sababu na wewe ni serikali ndo maana unajitahidi kuyazuia...CDM walivyoanzisha operesheni UKUTA walitegemea kuitisha serikali, eti maandamano yasiyo na kikomo, ni serikali gani itakubali upuuzi huo.
Raia mwenye akili timamu yoyote hawezi kukubaliana na ujinga wenu, maandamano yasiyo na kikomo ni upuuzi na upotezaji wa nguvu kazi ya taifa. Subiri tar 1 utajua nani mkubwa.Kwa sababu na wewe ni serikali ndo maana unajitahidi kuyazuia...