Lowassa mbona unatudhihaki watu Monduli huko Dar es Salaam

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Lowasa tumesikia unajichanganya huko Dar na kusikiliza shida na kero mbali mbali kwa wananchi ili ukiwa rais utatue na kuondoa kabisa hizo kero, lakini mbona umetusahau shida za wananchi wako wa vijiji vya Monduli, wananchi wako wa monduli huinama chini katika madimbwi na kunywa maji ya kijani na machafu ya mvua yaliyovchanganyika na kinyesi cha mifugo, miguu ya watu imepita hapo na kina mama na maguduria na punda wanachota hapo au watoto kuinama kunywa ili aone tabu ya maji itokanayo na environmental degradation ya shughuli za ufugaji na kilimo kisicho endelevu.

Tafadhali Lowasa ukitoka dar njoo jimboni kwako uje kujichanganya kama unavyofanya dar tunywe pamoja maji ya kijani yenye kinyesi cha Ngombe
 
KWELI CCM MMEKOSA SERA,sasa mnazusha tu vya uongo...endelea tu,mtanyamaza October 25.
 
Huyo ndio mzee wa kaole,
Kipindi chote hicho wakati tunakunywa maji ya viroba huku changanyikeni yeye anajigongea tu maji vikao tena sio hizi brand za hovyohovyo eti leo na yeye anagonga yaviroba,sasa hapo kwenye hayo kijani ndugu utamsamehe hayo maigozo hafanyi
 
Acha uwongo gamba wee.... tunampa kura hata ukihara hapa...
 
Lowasa tumesikia unajichanganya huko Dar na kusikiliza shida na kero mbali mbali kwa wananchi ili ukiwa rais utatue na kuondoa kabisa hizo kero, lakini mbona umetusahau shida za wananchi wako wa vijiji vya Monduli, wananchi wako wa monduli huinama chini katika madimbwi na kunywa maji ya kijani na machafu ya mvua yaliyovchanganyika na kinyesi cha mifugo, miguu ya watu imepita hapo na kina mama na maguduria na punda wanachota hapo au watoto kuinama kunywa ili aone tabu ya maji itokanayo na environmental degradation ya shughuli za ufugaji na kilimo kisicho endelevu.

Tafadhali Lowasa ukitoka dar njoo jimboni kwako uje kujichanganya kama unavyofanya dar tunywe pamoja maji ya kijani yenye kinyesi cha Ngombe

Huyu mzee aende BONGO movie akatutengenezee movie za MAZOMBI
 
Haha inafurahisha sana nikiona namna gani ukawa tupo Imara na wepesi kugundua Uzi ulioletwa na gamba mada za kinafiki kama walivyo masisiemu wenyewe

Yani wametutawala kimaguvu miaka zaidi ya 50 mpaka tumeweza kuwazoea jinsi ya...uongeaji wao.....uandikaji wao na mengineyo mengi ya kinafiki.........nyamafuuuu nyie mwaka huu mtaondoka tuu na pombe zenu mwisho baa
 
lowasa tumesikia unajichanganya huko dar na kusikiliza shida na kero mbali mbali kwa wananchi ili ukiwa rais utatue na kuondoa kabisa hizo kero, lakini mbona umetusahau shida za wananchi wako wa vijiji vya monduli, wananchi wako wa monduli huinama chini katika madimbwi na kunywa maji ya kijani na machafu ya mvua yaliyovchanganyika na kinyesi cha mifugo, miguu ya watu imepita hapo na kina mama na maguduria na punda wanachota hapo au watoto kuinama kunywa ili aone tabu ya maji itokanayo na environmental degradation ya shughuli za ufugaji na kilimo kisicho endelevu.

Tafadhali lowasa ukitoka dar njoo jimboni kwako uje kujichanganya kama unavyofanya dar tunywe pamoja maji ya kijani yenye kinyesi cha ngombe

mkuu kamuulize yale manyata yaliyojegwa mjini kati kama alishawai kuingia ndo ujue kuwa huyu mzee ni wa maigizo tu hana jipya tu,
 
Lowasa tumesikia unajichanganya huko Dar na kusikiliza shida na kero mbali mbali kwa wananchi ili ukiwa rais utatue na kuondoa kabisa hizo kero, lakini mbona umetusahau shida za wananchi wako wa vijiji vya Monduli, wananchi wako wa monduli huinama chini katika madimbwi na kunywa maji ya kijani na machafu ya mvua yaliyovchanganyika na kinyesi cha mifugo, miguu ya watu imepita hapo na kina mama na maguduria na punda wanachota hapo au watoto kuinama kunywa ili aone tabu ya maji itokanayo na environmental degradation ya shughuli za ufugaji na kilimo kisicho endelevu.

Tafadhali Lowasa ukitoka dar njoo jimboni kwako uje kujichanganya kama unavyofanya dar tunywe pamoja maji ya kijani yenye kinyesi cha Ngombe

umehama lini kiteto ndugu yangu?!huko kwa Ndugai ndio unajifanya upo Monduli?
 
haha inafurahisha sana nikiona namna gani ukawa tupo imara na wepesi kugundua uzi ulioletwa na gamba mada za kinafiki kama walivyo masisiemu wenyewe

yani wametutawala kimaguvu miaka zaidi ya 50 mpaka tumeweza kuwazoea jinsi ya...uongeaji wao.....uandikaji wao na mengineyo mengi ya kinafiki.........nyamafuuuu nyie mwaka huu mtaondoka tuu na pombe zenu mwisho baa

pombe mwisho baa,ila wapumbavu na malofa kelele kama kuku anachinjwa
nimegundua kwanini mnaitwa manyumbu mkuu,
 
huyu mzee aende bongo movie akatutengenezee movie za mazombi

mkuu huyu mzee msamehe bure aliposikia tunatafuta rais anazani tunatafuta rais wa comed na futuhi,
sasa anatumia shahada yake kufanya maigizo
rais wa maingizo huyo,
 
Back
Top Bottom