Leo ni siku ya pili tangu ' waziri mkuu aliyejiuzulu' kujiunga na chama cha kupokea mafisadi. Nilitegemea kwa huo umaarufu wa social media 'vigogo' kibao wangejiunga naye. Ila wapi..... Porojooo tupu. Umaarufu wa kwenye jamii forum. Lowassa is hopeless. Kwanza hana afya ya kufikiri. He is slow in body and mind. Lakini hii ni season ya excitement. Atleast tutaanza kununua magazeti. Lowassa has brought the stimulus but will never win.
Haya Kavae pampasi usije ukakojoa kitandani dada. Usiku mwema
Hahahhahahaaa duh hili dongo ulilompa anaeza pata kizunguzungu akadondoka asizinduke mkuu! Hahahahaha
Haya Kavae pampasi usije ukakojoa kitandani dada. Usiku mwema
Atakapoanza kuwanyoosha ndiyo utajua Ana afya hata ya kumakaz.... Mama yakoLeo ni siku ya pili tangu ' waziri mkuu aliyejiuzulu' kujiunga na chama cha kupokea mafisadi. Nilitegemea kwa huo umaarufu wa social media 'vigogo' kibao wangejiunga naye. Ila wapi..... Porojooo tupu. Umaarufu wa kwenye jamii forum. Lowassa is hopeless. Kwanza hana afya ya kufikiri. He is slow in body and mind. Lakini hii ni season ya excitement. Atleast tutaanza kununua magazeti. Lowassa has brought the stimulus but will never win.
Leo ni siku ya pili tangu ' waziri mkuu aliyejiuzulu' kujiunga na chama cha kupokea mafisadi. Nilitegemea kwa huo umaarufu wa social media 'vigogo' kibao wangejiunga naye. Ila wapi..... Porojooo tupu. Umaarufu wa kwenye jamii forum. Lowassa is hopeless. Kwanza hana afya ya kufikiri. He is slow in body and mind. Lakini hii ni season ya excitement. Atleast tutaanza kununua magazeti. Lowassa has brought the stimulus but will never win.
Huyo mleta mada hajatulia hii nikama post ya kumi humu anajaza ujinga humu.