Lowassa matatani zaidi

1.Mbona uko kimya kwenye huo udikteta unaofanyika Chadema ?

2.Tupe ushahidi lini ulimpinga Lowasa tangu ajiunge Chadema ?

3.Vipi Zito bado ni msaliti aliyetumwa na CCM kuua upinzani?


Hapo kwenye namba 2 hawezi kukupa jibu. Ataishia kukutukana tu. hahahaa

-Kaveli-
 
Weka ushahidi wewe wa mimi kubadili msimamo wangu, badala ya kukurupuka.
BAK huyu nilie m quote alikuwa ammemnukuu mtu mwingine aliesema kuhusu lowasa na si wewe angalia vizuri hii comment yangu ulio quote imetoka wapi wala si yako ndugu yangu kisha tutarudi penye mjadala wala haina shida.
 
Reactions: BAK
Weka ushahidi wewe wa mimi kubadili msimamo wangu, badala ya kukurupuka.
F9T alimnukuu mtu aliesema "chadema haina hadhi ya kuungwa mkono wa mtu makini kama lowasa "ndio nikamwambia huu wino huu sasa sijui weye umepata wapi hiyo unayoniandikia niweke ushahidi.
 
Reactions: BAK
Unapomtuhumu mtu kwamba kabadili Gia angani/kaunga mkono ujio wa Lowassa CHADEMA halafu huna ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zako ni lazima ushindwe. Ungekuwa mstaarabu basi ungeniuliza hivi BAK ujio wa Lowassa CHADEMA uliupokea vipi? Ningefunguka tena in details lakini mjuaji wewe ukaamua kukurupuka kuandika uzushi. Nakuomba ushahidi unang'aa na macho.

Hili litakuwa fundisho kubwa kwako siku za usoni kutokurupuka humu na kumtuhumu yeyote yule bila kuwa na ushahidi wa tuhuma zako.

Ulishasema mimi taahira so obvious ungeshinda
 
Ahsante kwa kunielewesha na samahani Mkuu.

BAK huyu nilie m quote alikuwa ammemnukuu mtu mwingine aliesema kuhusu lowasa na si wewe angalia vizuri hii comment yangu ulio quote imetoka wapi wala si yako ndugu yangu kisha tutarudi penye mjadala wala haina shida.
 

Tangu lini taahira anakuwa mstaarabu ?

Kinachokutuhumu ni maneno yako uliyoongea huko nyuma ndio maana walivyoquote statement yako ya huko nyuma umeanza kutukana watu.
Kama hukubadili gia angani ungetukanwa kama walivyotukanwa kina Slaa/Mwanakijiji ajabu wewe ndio ulikuwa kinara wa kuwatukana
 
Na wakati huo huo umeshindwa kuweka ushahidi wa kuonyesha mimi kuunga mkono ujio wa Lowassa CHADEMA. Kweli una akili finyu sana, unaruka ruka huku na kule lakini ushahidi wa kuonyesha mimi kubadili Gia angani huna.


1. Kama hujawahi kuunga mkono ujio wa Lowasa CHADEMA, sasa hebu tuoneshe ushahidi wowote wa wewe kupinga ujio wake Chadema.

2. Kama hujawahi kuunga mkono ujio wa Lowasa CHADEMA, ni kwanini sasa unashindwa kutetea/kushikilia msimamo wako kama mwanaume kwamba ''Lowasa ni tumaini la mafisadi, wezi, wahuni, majangili, magaidi, na wauza unga''?

 
Weka ushahidi wa mimi kubadili kile nilichoandika huko nyuma. Tatizo la kuonyesha kile nilichoandika miaka ya nyuma na sasa ni lipi!? Nashindwa kukuelewa wewe kuendelea kung'ang'ania kitu ambacho hakipo na wala hakitakuwepo. Narudia tena si kila aliyepinga ujio wa Lowassa CHADEMA aliamua kujiondoa CHADEMA. Ujio wa Trump GOP wengi ndani ya GOP hawakujiondoa pia pamoja na kuwa wanampinga Trump.

Kama kutukanwa mimi pia natukanwa sana humu hadharani na kwenye PM

 
Usifananishe siasa za marekani na za kwenu nyie wachumia tumbo wa chadema hadi mnatia kinyaa ......hebu log out upumzike unaendelea kujiaibisha hapa
 
Hahahahaha lol! Na wewe kuendelea kuunga mkono wahuni, mafisadi, wezi, dikteta uchwara, hutii kinyaa!? hata muasisi wa CCM alitamka hadharani kwamba CCM si mama yake kwa sababu alisikika kinyaa!? Wewe lini utaanza kusikia kinyaa na kuacha kuwaunga mkono wanaoiangamiza nchi yetu miaka nenda miaka rudi!?

Hebu niambie tofauti ya Mmarekani ambaye siku zote alikuwa akidai yeye ni Democrat kisha akageuka na kuingia Republican, na Mtanzania ambaye miaka yote alikuwa CCM agauka na kuingia CHADEMA!? Hakuna popote pale ambapo nimejiaibisha labda kwa mtu mwenye ufinyu wa akili kama wewe.

Acha upumbavu wewe! Unanitaka nilog out wewe ukiwa kama nani humu!? Acha kujibaraguza wewe.

Usifananishe siasa za marekani na za kwenu nyie wachumia tumbo wa chadema hadi mnatia kinyaa ......hebu log out upumzike unaendelea kujiaibisha hapa
 
Duuh, hii kaazi kweli kweli...
 
Njaa kitu kingine, mtu yuko ladhi kujipakaza kinyesi afanikiwe...
 
Yet again, umeisahau kabisa Richmond kama moja ya kashfa, pamoja na kuzitaja kashfa zooooote. Na wakati huo huo unataka bado uendelee kuaminika humu. Kwani hizo kashfa nyingine Kagoda, Meremeta, Kiwira, na Lugumi ni nani alipelekwa Mahakamani? Kweli pesa haina shujaa. You know what? Ningekuwa mimi ndio wewe, ningekaa kimya ili nisiumbuke zaidi.
 
Huo ni upumbavu wako wa kutuhumiwa na watu ushahidi husika hawana halafu ukae kimya. Mimi si wewe na wala huna cha kunifundisha wewe. Msimamo wangu hakuna hata siku moja ambapo ulibadilika na ndiyo sababu hakuna aliyeweza kuthibitisha hilo.

 
Hakuna taifa linalotaka taifa jingine liwe na nguvu
Hakuna taifa linalotaka taifa jingine liwe na nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…