Matusi ya nini we killaza, unapanic nini sasa? au 'kushikishwa UKUTA' na mbowe ndo ushawehuka tayari eeh?
Endelea 'kuchora 7' mbele ya Mbowe na Lowasa.
View attachment 374402
View attachment 374404
-Kaveli-
Waliopinga ujio wa Lowasa hakuna aliyebaki kuendelea kuitetea Chadema,now wanaitwa wasaliti (Dr Slaa et all)
Nashangaa wewe bado unatetea chama ambacho kinaongozwa na uliyemwita fisadi mwizi
CHADEMA hakina hadhi ya kuungwa mkono na watu makini kama Mh.Lowassa.
Wanakwambia tatizo mfumo sio mtu sasa cha kushangaza walikuwa wanashambulia watu katika list of shame wamewataja uzuri tu tena wakaenda mbali kwa kuwaita watu kwenda kupimwa akili au kukamata vibaka waqt mtuhumiwa yupo. Nukuu zao wenyewe watu ndio wanapita mulemule katika siasa pande mbili lazima ziwepo ila kila mtu atumie akili yake.Acha kabisa, siasa sio mchezo mzuri. Juzi walimtukana mzee Lowassa, leo amevalishwa ngozi ya kondoo.
Mkuu..bado upo hai??I found this massage very funny
Naye Lowassa akawaambia mawaziri wengine"
KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr
Mwakyembe.Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili
nitakapokuwa nanyi muwepo.Nanyi muonapo tume zaundwa
basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia". Kisha akakwea tena Ikulu kuomba Rais asimfilisi. Lakini RICHMOND akatokea na jeshi la Mwakyembe na kusema " Nitakayembusu huyo ndie....!".Mara Chenge akatoa Upanga alani na kumkata mfuasi wa Mwakyembe(Anna Kilango) sikio .Lowassa akamwambia Chenge "rudisha upanga wako alani,Kikombe nilichotupiwa na Kikwete Sina budi Kukinywa"
Moja kati wa mayahudi wale aitwaye Selelii hakuamini kama Lowasa Kajiuzuru,akatwaa mkuki akamchoma ubavuni na tazama...Ikatoka gas ya songosongo na nati ya mitambo ya umeme...Siku ya tatu wakaenda pale ofisini kwake..Lakini wakakuta wingu la Mvi limetanda na Suti ya mistarimistari pale kitini walipomweka..yule morani waliyemkuta getini akawaambia mnayemtafuta hayupo.....Ameshapaa kwenda Monduli na yupo kuume kwa Laiboni..Wakasema..."Hakika huyu alikuwa Fisadi.
Acha kuonyesha utaahira hadharani wewe! Si kila aliyepinga ujio wa Lowassa aliamua kujiondoa CHADEMA.
Mfano mwepesi tu kwako ujio wa Trump umepingwa na wengi sana ndani ya GOP ikiwemo family yote ya akina Bush umesikia hata mmoja katika familia hiyo kajiondoa GOP!?
Wewe huko kwa wahuni na mafisadi. Mkapa fisadi, Kikwete fisadi, dikteta uchwara fisadi na wale walioitukana CCM walipoamua kujiondoa sasa wamerudi tena CCM na kupokelewa kwa shangwe kubwa, unasubiri kitu gani? Mbona hujiondoi ili kupinga kinachoendelea ndani ya chama cha wahuni na mafisadi!?
Chama siyo mtu wewe bali ni Sera leo hii Lowassa anaweza kutangaza kurudi CCM na CHADEMA haitakufa akiamua kufanya hivyo.
Nakubaliana na maneno yako coz sio peke yako alie pigwa butwaa wapo wengi tu ila hawakuwa na la kufanya kusema ukweli siasa ni mchezo mchafu sana hii ya kusema no permanent friend or enemy in politics ina maana kubwa sana. Je baada ya hapo ulijipambanua kuhusu ujio wake au ulibaki kimya?Nilibaki na mshangao mkubwa nilikasirika sana, lakini sikuunga timu FA.
Hizo sera zinaandaliwa na watu na zinaandaliwa kwa ajili ya watu.
Pole naona leo unatukana tu i hope now umejifunza next time utaweka akiba ya maneno,inakuwaje leo unajadiliana na taahira ?
Nakubaliana na maneno yako coz sio peke yako alie pigwa butwaa wapo wengi tu ila hawakuwa na la kufanya kusema ukweli siasa ni mchezo mchafu sana hii ya kusema no permanent friend or enemy in politics ina maana kubwa sana. Je baada ya hapo ulijipambanua kuhusu ujio wake au ulibaki kimya?
Kabla ya kujibu inabidi uangalie hizi nukuu jasho lazima likutoke.Matusi ya nini we killaza, unapanic nini sasa? au 'kushikishwa UKUTA' na mbowe ndo ushawehuka tayari eeh?
Endelea 'kuchora 7' mbele ya Mbowe na Lowasa.
View attachment 374402
View attachment 374404
-Kaveli-
Hizo sera zinaandaliwa na watu na zinaandaliwa kwa ajili ya watu.
Pole naona leo unatukana tu i hope now umejifunza next time utaweka akiba ya maneno,inakuwaje leo unajadiliana na taahira ?
Hiv sikuiz JF imenunuliwa na CCM. Mnatengeneza post den mnazipa tarehe ya nyuma ili iweje. Post kama hizi ya 2008 haiwezi kuwa na comments zisizozidi hta page moja. JF moderator acheni uhuni hata jana mlitoa post kama hiiii. Tumeisha washtukia tafta njia nyingine.
Duh! Weye nae mmbaya!wino huu unaumbua wengi.mwingine huyu huku wakuu
Hata mimi hilo limenishangaza sana, mara nyingi post za muda mrefu namna hii zinakuwa zimefungiwa na huwezi ku-comment wala ku-edit chochote!
I wonder on this!
Hujitambui wewe unalazimisha mimi kuunga mkono ujio wa Lowassa wakati siyo kweli. Nimekuomba ushahidi wa kuonyesha mimi kuunga mkono ujio wa Lowassa CHADEMA na umeshindwa kufanya hivyo. Ni taahira tu anaweza kusema kitu ambacho hawezi kukithibitisha, mwenye akili timamu KAMWE hawezi kufanya hivyo. Usiwe unakurupuka kuandika uzushi humu. Jitosheleze kwanza na habari husika na tafuta ushahidi wa kutosha badala ya kumtuhumu mtu huku huna hata chembe ya ushahidi. Ningekuwa mimi nimekutuhumu humu na kukosa ushahidi wa kuthibitisha kile nilichoandika ningekuwa mstaarabu na kukwambia niwie radhi nilikurupuka.
Na kwa taarifa yako ndani ya vyama vya sasa viongozi na wanachama hawakubaliani kwenye kila issue na inapotokea hivyo watu hawakurupuki na kujiondoa kwenye chama husika.
Sio zote zimefungwa,kama zilifungwa kulikuwa na sababu.Labda ulikuwa uzushi baadae ukweli ukajulikana.Hii idea ya kubadilisha gia angani imefanya watu wawe vipofu wanasahau huko nyuma waliongea nini
Na wakati huo huo umeshindwa kuweka ushahidi wa kuonyesha mimi kuunga mkono ujio wa Lowassa CHADEMA. Kweli una akili finyu sana, unaruka ruka huku na kule lakini ushahidi wa kuonyesha mimi kubadili Gia angani huna. Jifunze kuandika kwa kuthibitisha kile unachoandika badala ya kukurupuka. Kama hii ingekuwa kesi mahakamani ningekushinda vibaya sana.