Lowassa matatani zaidi



Wewe hauna huo uwezo wa kuneemeka na kupata Ukuu wa Mkoa, siyo kila mtu anayeipigia debe CCM anachukuliwa, wewe hata kama ukiipigia debe CCM hakuna wa kukuchukuwa kwa maana uwezo wako ni mdogo wa kuchanganua mambo, ona sasa unavyosutwa hapa unatapa tapa kama mtoto aliyeshikwa anadokoa Mboga!
 
Kwakweli inasikitisha sana.

Ndio mtu kama huyu sasa unajiuliza hata familia yake anaisimamiaje kama anakosa msimamo kwa mambo kama haya?
 

Tueleze basi kuhusu swahiba wako Lowassa. No Fisadi au siyo Fisadi?
 

Mpe ukweli huyo jamaa. Siku za nyuma alikuwa mpingaji mkubwa sana wa Lowassa. Leo hii amekuwa mpambe wake mkubwa sana tu. Yeye na Kubenea hawana utofauti.
 

Hayo unayoyaongelea yamefanyika pia wakati Lowassa akiwa ndani ya serikali na ccm. Sasa Lowassa ni fisadi au siyo fisadi?
 
hahaha nyuzi kama hizi ziko nyingi sana za makamanda kumponda lowasa. leo hii ukizifokonyoa uzilete hapa utaona mods watakavyolalamikiwa mara utasikia 'mods sikuhizi wamenunuliwa na ccm' mara 'mods toeni ujinga huu' hahaha makamanda bwana ni sheeeeda!!!!
 
mgombea urais kupitia chadema 2020 ni mh chenge, iwe isiwe mbowe usitusaliti wanamabadiliko. lowaxa keshakuwa msafi hahitajiki tena. ni zamu ya nyoka mwenye makengeza
 
Acha tu walianzishe zali hili. Ni wao wenyewe watalizima watakapoona mhusika mkuu anatajwa. Tunajua uamuzi wa kuipa tenda kampuni Richmond (Kama yalivyo maamuzi mengine makubwa ya serikali) ulifanywa na Baraza la Mawaziri. Mwenyekiti wake alikuwa ni nani???
 
Hizi post za zamani, huchelewi kukuta mtu anakana maandishi yake mwenyewe. Au ana apply kanuni ya Bunge ya "kufuta kauli" japokuwa maandishi ndo ivo tena hayafutiki. Jambo hili pia limekuwa likimsumbua sana Mheshimiwa Said Kubenea (MB).
 
Kwakweli inasikitisha sana.

Ndio mtu kama huyu sasa unajiuliza hata familia yake anaisimamiaje kama anakosa msimamo kwa mambo kama haya?
Mkuu umenichekesha sana, siasa zinawafanya watu wajitoe ufahamu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…