Lowassa: Makapi yanayoihenyesha CCM

Lowassa: Makapi yanayoihenyesha CCM

Mwana wa Nuru

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
590
Reaction score
415
Pamoja na CCM kutuambia kuwa Lowassa ni makapi yao tu, leo tumeshuhudia walivyotokwa jasho kukabliana nae.

Ni vema wakituambia ukweli kuliko kutuhadaa. Hivi nguvu zote wanazotumia ni kukabili makapi tu? Basi wao ni dhaifu sana kwani kwa uingi wao na dola yao wangemwachia tu mgombea wao mwenye nguvu na kukubalika apambane na wanayedai dhaifu.

Kuwe na uwanja sawa na refa waamuzi wa pambano wasipendelee ili tujionee kukubalika kwa ccm na mgombea wao.

Mabadiliko ni maendeleo na maendele ni mabadiliko, kwa kura yako, fanya mabadiliko kwa maendeleo nchi na vizazi vijavyo.
 
Hakika ccm wamechanginikiwa sana

mtu asijidangaye maana nguvu inayotumika sasa inaonyesha wazi lowassa anajua siri kubwa

ya viongozi wa ccm na wanaogopa atawafunga
 
Wazee wamepanic vibaya, nilitaraji wangekuja kwa kujiamini na kutuambia tumefanya A, B, C .... na kwenye maisha bora kwa kila Mtanzania tumefanya hichi na hichi, then tutafanya hivi mkituchagua, ila wakaja na mitusi! Eti Oil chafu tutakutana October, tutaheshimiana tu.
 
11898749_679123862189470_8944490428627987613_n.jpg
 
Pamoja na CCM kutuambia kuwa Lowassa ni makapi yao tu, leo tumeshuhudia walivyotokwa jasho kukabliana nae.

Ni vema wakituambia ukweli kuliko kutuhadaa. Hivi nguvu zote wanazotumia ni kukabili makapi tu? Basi wao ni dhaifu sana kwani kwa uingi wao na dola yao wangemwachia tu mgombea wao mwenye nguvu na kukubalika apambane na wanayedai dhaifu.

Kuwe na uwanja sawa na refa waamuzi wa pambano wasipendelee ili tujionee kukubalika kwa ccm na mgombea wao.

Mabadiliko ni maendeleo na maendele ni mabadiliko, kwa kura yako, fanya mabadiliko kwa maendeleo nchi na vizazi vijavyo.

Mwana wa Nuru usijidanganye kuwa Lowassa anapendwa sana na atashinda kuilani.
Bado inahitajika kampenj ya ukweli. Usibweteke.
Kuna waliompinga Lowassa hata alivyokuwa bado ndani ya CCM; na kuna ambao bado wanampinga hata baada ya kuhamia UKAWA.

Watch "Lowassa alipozomewa na watu wa katavi ktk udhamini" on YouTube - https://youtu.be/ffx0NhfoT6c
 
Marais wa ccm hawawezi simama kwa ujasir kusema walichokifanya maana taifa walizika.
 
Maskini mzee mkapa mbona hajipendi?ccm inapigania ukombozi upi?watawale wao na wanataka kujikomboa toka utawala wao wenyewe.watakuwa wamekurupushwa!!!
 
Hakika ccm wamechanginikiwa sana

mtu asijidangaye maana nguvu inayotumika sasa inaonyesha wazi lowassa anajua siri kubwa

ya viongozi wa ccm na wanaogopa atawafunga

relax! umevurugwa hadi unachapia
 
Mabadiliko hayawezi letwa na Lowasa hata siku moja. Hayo mgesema wakati ule mko na Prof. Lipumba na dr. Slaa kuwa mnataka mabadiliko lakini chini ya shetani Lowasa aliyejivika ngozi ya kondoo kumbe jibwa mwitu.
 
Kulikuwa na ma Lori pale na Mimi ni UKAWA damu Lakini nilikwenda pale na kilicho mshangaza kikwete vijana tulianza kuondoka baada ya burudani ya diamond kuiisha akaanza kutuita wachawi
 
Kulikuwa na ma Lori pale na Mimi ni UKAWA damu Lakini nilikwenda pale na kilicho mshangaza kikwete vijana tulianza kuondoka baada ya burudani ya diamond kuiisha akaanza kutuita wachawi

picha please!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom