Songasonga
Senior Member
- Mar 13, 2011
- 152
- 14
Je sumaye Msuya warioba.... Hawakuwapo? Anyhow ninachojua anaweza kuondolewa NEC lakini bado akawa mstaafu (Kama kweli alistaafu..,, see MZee Jumbe)
Je hii inamaanisha hana mpango wa kujiuzulu hata kama chama kimenyooshea kidole?
Walitajwa officially na Msekwa tena ndani ya kikao cha NEC nakumbuka Kikwete alisema kwanini hamuwataji ndipo Msekwa akasimama na kusema wanaotajwatajwa ni Rostam Lowassa na Chenge baada ya hapo RA akasimama na kusema hizo ni tuhuma tu, Rutunga upo.We acha kukariri tu na kutumia maneneo ya mitaani kuwa official !,Unaweza kutaja kikao,au kiongozi yoyote wa CCM aliyewahi kumtaja Lowasa kwa jina kwamba inabidi ajiuzulu?.
CCM wanasema mafisadi lakini hawataji majina,hivyo si busara wewe kuanza kuwatajia majina,subiri wataje kisha ndiyo tujadili kwani tafsiri ya fisadi ni zaidi ya unavyodhani.
Siku Lowasa akifukuzwa CCM hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa CCM. Maana kitakacho tokea ni:
1. Mgawanyiko ndani ya chama kutokana na ukweli kuwa Lowasa anakundi kubwa sana nyuma yake na anaungwa nkono sana na baadhi ya
wana ccm ambao aliwasaidia sana ndani ya chama.
2. Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania itachukizwa na kitendo hicho kiasi kuwa huenda wataweka kisasi ili kuwaadhibu ccm, na ieleweke wazi
kuwa mikoa ya kaskazini