CCM walipoamua kumsimamisha Magufuli hawakuwa wajinga.Piga ua garagaza wasukuma wataendelea kumpigia msukuma mwenzao.Wasukuma wanamsemo 'huwezi mpa mbwa wa jirani mifupa huku wa kwako akilala njaa' hata kama wa kwako kakukosea vipi utampa tu.Lowasa aendelee kuisoma tu hakuna namna hamuwezi huyu ngosha.Wasukuma nawaogopa sana,hawana utani