Jamaa kaanza kuzungusha mikono mapema sana.Angalia wenzio anawalipa pesa nyingi ili asikike,
Wewe naona unalipwa za ufagizi
atasimamishwa huyo huyo,mnamuogopa kumbe ushauri wa kinafiki ili asigombee,atagombea huyo huyo.mtanyoroka tuSiwashauri Chadena kumsimamisha Lowassa 2020, najua ni wabishi na wata fanya hivo, ila hapo itakuwa mna mtafutia magufuli second term.
Yangu macho
Sasa tuta nyooka kina nani!!?, mi mpga kura tu wa kawaida, tena mkiweka ntampigia, ila hamtashinda. Mark my wordsatasimamishwa huyo huyo,mnamuogopa kumbe ushauri wa kinafiki ili asigombee,atagombea huyo huyo.mtanyoroka tu
Usikariri,future is a mystery!..Sasa tuta nyooka kina nani!!?, mi mpga kura tu wa kawaida, tena mkiweka ntampigia, ila hamtashinda. Mark my worda
Halafu jitahidi kujia si kila asiye ungana na maamuzi yenu ni mwana CCM.
Acha ukabila wengine wanaposoma hii unajenga kitu kibaya mioyoniCCM walipoamua kumsimamisha Magufuli hawakuwa wajinga.Piga ua garagaza wasukuma wataendelea kumpigia msukuma mwenzao.Wasukuma wanamsemo 'huwezi mpa mbwa wa jirani mifupa huku wa kwako akilala njaa' hata kama wa kwako kakukosea vipi utampa tu.Lowasa aendelee kuisoma tu hakuna namna hamuwezi huyu ngosha.Wasukuma nawaogopa sana,hawana utani
Kesho ya Lowasa ama Magufuli i mikononi mwa MUUMBA.Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.
1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.
2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.
3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.
4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.
Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.
1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.
2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.
3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.
4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.
Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
DUUUUUUUUUU! Lowassa tena! Naona 2025 maccm yanatamalaki. Inamaana hakuna mwingine?Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu.
1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta faida ya moja kwa moja kwa wananchi walio wengi.
2. Inaonekana mambo yanashughulikiwa kwa makundi na watu wachache mno mfano ujenzi wa nyumba za askari magereza ukonga je askari wa sehemu zingine wanajiuliza watajengewa lini, uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa kada fulani huku wengine wakiachwa kama majeshi namna inavyosemekana.
3. Tatazo la ajira kutopatiwa ufumbuzi, kwani hali imezidi kuwa ngumu serikalini na binafsi hata shughuli za watu kukwama.
4. CCM kuendelea kutofanya siasa katika mashina hii inazidi kukiondoa chama karibu na watu kuzingatia mikutano ya hadhara hadi 2020.
Hivyo ukiachilia mifumo na vyombo vya mamuzi katika uchaguzi ndani nchi hii, LOWASSA 2020 bado atasumbua vikali mno.
Itabidi wamsimamishe Mzee wa upako auSiwashauri Chadena kumsimamisha Lowassa 2020, najua ni wabishi na wata fanya hivo, ila hapo itakuwa mna mtafutia magufuli second term.
Yangu macho