Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.

This is among World wander.

Haiwezi kuingia akilini kwa mtu mwenye akili timamu kulitaja jina la EL tena kwa kumpa Future title of to be our president. Labda kama unatumia ile bidhaa inayozalishwa pale Lumumba.
 
Tatizo Lowasa bado anatumia mbinu za mwaka 47, anadhani hiki kizazi cha digital kinadanganyika, kwa vijijini mbinu hizi sawa na siyo mjini. Hiyo Harambee itakayofanya vijana wetu wavunjike miguu kwa kuendesha bodaboda ilaaniwe. Angefanya harambee ya kujenga kiwanda ili wapate ajira
 

we ni mpuuzi snaaaa,lowassa amekuwa serikali,afadhali hata huyo lowasaa anayejitolea kuchangia maendeleo,wako wengne wana hizo pesa lakin wamezikumbatia na wake zao,na utambuwe si boda boda tu ndizo zinazopata ajali hata hayo magari yanapata,ungeshaur wapewe elimu ya usalama wa barabarani ningekuona wa maana,tatzo umeongozwa na chuki
 
Hivi jamani naomba kuuliza hivi El alishajisafisha kuhusu kuhusika kwake na Richmond? Kama bado basi nadhani wanaompa promo wakipewa madaraka watakuwa mafisadi kama mafisadiCCM.
 
This is among World wander.

Haiwezi kuingia akilini kwa mtu mwenye akili timamu kulitaja jina la EL tena kwa kumpa Future title of to be our president. Labda kama unatumia ile bidhaa inayozalishwa pale Lumumba.

kwan nyie mmesahau ile bidhaa mnayozalisha pale ufipa ambayo babu alisema akiwa prezidaa ataihalalisha???au umejitoa akili
 

Mkuu wala usiwe na hofu na huyo mgonjwa. Jeuri yake iko ndani ya ccm tu, akija kwa Watanzania wenye akili zao tunajua kuwa huyu jamaa ni kinyesi tu na hata umfunge na gift paper ya aina gani harufu itatoka tu.

Yani EL nje ya ccm ni kama kelele za mbu nje ya net haiwezi kuambukiza malaria.
 
Watu waliopitia magumu kama lowasa wanakujaga kuwa marais wazuri sana. Gooo goo lowasa a.k.a Zuma. Tunakuhitaji kupitia chama chochote.
 

subiri utaniambia,mkeo mwenyewe atampa lowassa kura,tulia dawa inakuingia taratibuuuuuu
 
hivi ka makonda katumiwa na sitta, wewe---------- na nan?

Lowassa hata siasa hajui anakurupuka tu kwa sababu ya pesa ya Richmond....nan kasema matatizo ya MSINGI ya bodaboda ni kununuliwa boda mpya?

Kama hawezi kutatua root cause, then no permanent solution......laana ya Richmond inayosababisha cost pull inflation ktk nchi hii imemshika pabaya hyo jamaa
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.

Usimchukie Lowasa kwa sababu ya Ukaskazini wake na Ukristo wake.Lowasa ni Jembe kuliko Kiongozi yeyote wa CCM kwa sasa.
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
Hata usiogope kaka, hizo harambee zake ndo zinammaliza. Mwanza, alitudanga kuwa anatuchangia mtaji sisi 'wamachinga', zikakusanywa takribani mil 20, halaf akamkabidhi rafiki yake, tajiri wa mafuta eti atutunzie. Mpaka leo, hakuna hata machinga mmoja aliyekwisha pata ile pesa. Unafikiri akirudi Mwanza atakuwa na chake tena?
 
Huwa akili za watanzania wengine sizielewi, sijui huwa hazina memory capacity ya kutosha! Kwa hiyo zina delete kumbukumbu za nyuma na kuifazi za sasa tu, wamesha sahau kashfa ya uwizi na ufisadi ya lowasa ambayo imesababisha mpaka umeme umepanda bei?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…