Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.

Nimeipenda hii.
 
Acha Makonda na Malecela watokwe na mapovu. Kama wanathubutu kutueleza kwamba Lowassa hafai, Watueleze ANAYEFAA KUWA RAIS WA TANZANIA NI NANI.

Go Lowassa go
My next president 2015
 
na chadema wameahirisha mkutano wao,baada ya kuona moto wa el nikwere
 

How much money have you been paid to write this??
 
Mawaziri wakuu wastaafu na waliojuidhuru wamechachamaa. What a difference do they want to make if they did not while in the offices as second chief in command in the state house? Ama kweli ccm wako hatarini.....walioijenga ndo wataibomoa.
 
Usimchukie Lowasa kwa sababu ya Ukaskazini wake na Ukristo wake.Lowasa ni Jembe kuliko Kiongozi yeyote wa CCM kwa sasa.

Nakubaliana nawe kuwa Lowasa ni bora kuliko yeyote wa CCM kwa sasa. Maana ukweli ni kuwa katika CCM hakuna aliye bora akiwa ndani ya CCM. Na kama hawajitoi sasa basi watabaki kuwa sio bora kabisa mbele ya Watanzania.
Haya mashindano yao wenyewe wanaita mbio za Urais ni yao ya ndani kwa vile CCM kama chama lazima kimsimamishe mtu ili "kusindikiza" wakati wa uchaguzi mkuu.
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.

Hakika upumbavu unawanufaisha wajanja. Huyu mtu anaungwa mkono na viumbe ambao hawana haja ya kujiuliza lolote ktk maisha yao. Wengine wamepigiwa simu na kuombwa tu wamuunge mkono Lowasa na wanakumbukwa kwa pesa za modem.

Huyu alianza wizi siku nyingi sana. Hebu atueleze pesa ya mafuriko ya Tanga alipeleka wapi? Baadaye tutataka pesa yetu ya Richmond, pale wizara ya maji tutataka aeleze pesa aliyokuwa akiwekewa ktk akaunti aliruhusiwa na nani.

Ah! Ni mtu mchafu tu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…