LOWASA KUITOSA UKAWA:
Mgombea wa umoja wa ukawa mhe Lowasa anatarajiwa kuutosa mazima umoja huo na chama alichojiunga cha chadema baada ya uchaguzi,zipo kila dalili za kiongozi kufanya hivyo maana kupata ushindi kwake itakuwa ni ndoto,kiongozi huyo hata kuwa na nguvu tena ya kuimarisha umoja huo au chama na taarifa zinasema kuwa jamaa atajiingiza katika masuala ya uchungaji
Huyo mzee atashitakiwa kwa wizi wa feza za umma
mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
ikulu sio pango la walanguziLowassa ndie Rais oktoba 25.
mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
Nani ataikomboa nch ya Tz?
Nani atatengeneza mazingira mazuri ya urithi wa kizazi kijacho?
Nani ataitoa Tz kutoka katika orodha ya nchi masikini kuelekea katika orodha ya nchi zenye uchumi wa kati?
Nani atautoa mfumo usiotaka mabadiliko ya nchi na kupata mfumo radical?
Nani atakuwa mkombozi wa rushwa nchini Tz?
Nani atautoa mfumo wazi wa kitabaka nchini Tz?
Nani atalinda na kusimamia vizuri na kwa utaratibu maalumu rasilimali tulizojaliwa na mwenyezi Mungu katika bustani hii ya edeni(Tz)?
Nani atahakikisha mfumo thabiti wa huduma za kijamii katika nchi ya Tz?
Nani atahakikisha haki sawa kwa wote nchini Tanzania?
Nani atakuwa mtetezi wa wanyonge nchi ya Tz?
Nani atakuwa msimamizi mzuri wa mali za umma?
Kama mtanzania Mwenye nia njea na nchi hii na nia njema na vizazi vijavyo funguka Chukua hatua.