Lowassa hawezi akawa rais,rais ni Magufuri
LOWASA APIGWA CHINI:✳
Ukawa wanafukuza upepo na kujitoa ufahamu.
Nakumbuka zilipokua zinakaribia siku za uchaguzi ndani ya ccm wapo waliojipiza kama nyie wa leo juu ya Lowasa kwamba hakatwi mtu na alipokatwa walibaki vinywa wazi na vilio tele kwasababu mirija ya ulaji ilikua imekatwa.
Na sasa mnajiapiza tena kwakujitoa ufahamu kwenu eti hataiweje mtampa kula Lowasa jata awe mgonjwa vipi ahahahaa mpeni ila mjue atapigwa Chini tena kwa kura za wananchi safari hii baada ya 25 25th October Mtulie kama mnanyolewa vile maana najua hamachelewi kutuletea fujo maana kwa maandamano tu hamjambo. ..
HAPA KAZI TU. .M4C. .MAGUFULI FOR CHANGE
Lowassa hawezi akawa rais,rais ni Magufuri
UKAWA wanafukuza upepo na kujitoa ufahamu
Nakumbuka zilipokua zinakaribia siku za uchaguzi ndani ya CCM wapo waliojipiza kama nyie wa leo juu ya Lowassa kwamba hakatwi mtu na alipokatwa walibaki vinywa wazi na vilio tele kwa sababu mirija ya ulaji ilikua imekatwa.
Na sasa mnajiapiza tena kwa kujitoa ufahamu kwenu eti hata iweje mtampa kura Lowassa hata awe mgonjwa vipi ahahahaa mpeni ila mjue atapigwa Chini tena kwa kura za wananchi safari hii baada ya 25 25th October. Mtulie kama mnanyolewa vile maana najua hamchelewi kutuletea fujo maana kwa maandamano tu hamjambo. ..
HAPA KAZI TU. .M4C. .MAGUFULI FOR CHANGE
Jiliwaze
M4C na tafsiri hii mpya entails a limited level of creativity kwa upande wa waigaji. Na kwa kufanya hivyo, mnachangia kukidhalilisha Chama.