Lowassa kumshtaki Kikwete

Lowassa kumshtaki Kikwete

ni vizuri kwa mtu kama lowassa mwenye wafuasi wengi namna hii akaweka msimamo wake hadharani sas maana neno lisemwalo wakati ufaao ni la maana zaidi kuliko hekima ya kukaa kimnya ambayo actually ni hekima ya mjinga/mpumbavu maana yeye akiongea ataaribu, lakini yeye kama kiongozi sio busara kuakaa kimnya baada ya huu mvurugano wote.
 
Back
Top Bottom