I like this : bandika, bandua mpaka makufuli yalegee na kujifungua bila hata kuhitaji funguo !!
Eti kama Libya, mnaofuja na kutuibia miaka yote hii ndiyo mnaogopa lkn sisi timeshaamua sasa basi ! Na timegundua mnaoendesha propaganda chafu na za uongo ni watoto wa hao hao wa EPA, KIgoda,ESCROW, Mabehewa mabovu, TPA, UDA, NBC, NMB, na sie wapumbav na malofa tumepania kuwaonyesha kuwa ulofa wetu ni mali na hizo kofia, kanga na skafu mtazivaa mkiwa keko na segerea !!
Tutataifisha hadi kuku wa nyama,sungura na mijibwa koko .....