OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowasa ni kiongozi wa kuigwa ndani na nje ya chama kwani pengo lake limeonekana tangu alipoachia madaraka mambo yamekuwa yakienda ndivyo sivyo na hakuna kiongozi wa kukemea mambo na kuyatafutia ufumbuzi,,,, zimebaki ahadi za kisiasa zisizo tekelezeka,,,,
Ulienda shule kusomea UJINGA WEWE, by FFoxy.Ukiangalia nchi yetu jinsi ilivyo na changamoto tulizonazo kuhisiana na ustawi na wa Taifa letu vi vema tukawa na kiongozi mwenye hulka ya maamuzi magumu sana zaidi awe mchapakazi hodari wa kupigiwa mfano hata record yako iwe inamshuhudia hivyo,Kati ya wote waliotangaza nia mtu ambaye watanzania wameonyesha kuwa anaweza kubeba jukumu hilo si mwingine bali Edward Lowassa,Huyu ni mchapakazi anayejipambanua kwa namna yake na kizuri ni ambaye anaamini sana kile ambacho anakisimamia pasi na mashaka yoyote ile.CCM inatakiwa iwatendee watanzania haki yao ya msingi kwa yule ambaye tumeona anaweza kutuvusha ng'ambo ya maendeleo na zaidi wazingatie ushauri wa mwenyekiti wao JK kuwa wasifikiri kwamba eti mgombea akichaguliwa na CCM basi amepita zama hizo zimeshapita kitambo sana na wananchi sasa wanaelewa vilivyo kwani wanaopiga kura wanafika zaidi ya watu million 19 au 20 kama wote wakijiandikisha na kupiga kura.Tafakari
Hivi wewe una akili kweli?Lowasa ni kiongozi wa kuigwa ndani na nje ya chama kwani pengo lake limeonekana tangu alipoachia madaraka mambo yamekuwa yakienda ndivyo sivyo na hakuna kiongozi wa kukemea mambo na kuyatafutia ufumbuzi,,,, zimebaki ahadi za kisiasa zisizo tekelezeka,,,,
Ukiangalia nchi yetu jinsi ilivyo na changamoto tulizonazo kuhisiana na ustawi na wa Taifa letu vi vema tukawa na kiongozi mwenye hulka ya maamuzi magumu sana zaidi awe mchapakazi hodari wa kupigiwa mfano hata record yako iwe inamshuhudia hivyo,Kati ya wote waliotangaza nia mtu ambaye watanzania wameonyesha kuwa anaweza kubeba jukumu hilo si mwingine bali Edward Lowassa,Huyu ni mchapakazi anayejipambanua kwa namna yake na kizuri ni ambaye anaamini sana kile ambacho anakisimamia pasi na mashaka yoyote ile.CCM inatakiwa iwatendee watanzania haki yao ya msingi kwa yule ambaye tumeona anaweza kutuvusha ng'ambo ya maendeleo na zaidi wazingatie ushauri wa mwenyekiti wao JK kuwa wasifikiri kwamba eti mgombea akichaguliwa na CCM basi amepita zama hizo zimeshapita kitambo sana na wananchi sasa wanaelewa vilivyo kwani wanaopiga kura wanafika zaidi ya watu million 19 au 20 kama wote wakijiandikisha na kupiga kura.Tafakari
Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.
Lowassa siyo kioo bali ni giza totolo. ukitaka kujua Lowassa ni nani angalia walioko nyuma yake. Lowassa akiwa ikulu ni sawa kama umeweka fisi, sasa ukifuga fisi fisi huyo atatembelewa na nani kama siyo mafisi menzake, Lowassa hana maamuzi magumu bali ana maamuzi ya kukurupuka.

Tunaomba evidence ndugu, pia huyo msafi unaemtaka wewe ili aingie Ikulu ni yupi?Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.
ikifika mahali unamfannaisha binadamu mwenzako na fisi tujue ufahamu na nafsi yako tayari huna mamlaka navyo
wewe unaeona lowassa sio kioo bali ni giza ujue kwamba wewe ndio giza hujioni katika hicho kioo
tafakari chukua hatua
lowassa the coming president of tanzania
unapewa hela kuleta uzi kumtaja mwizi mkubwa huyo, shame on you!
Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.
Tuondolee umasaburi wako hapa, umelishwa hela za Ghadafi unmekuwa tahira, nenda chalinze kalambe masaburi ya Prince